Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Wife wangu ni mvivu sana wa mizagamuo aisee na round hii nimechoka kubabake, yani anasababu mlima ndio ni mtumishi kaajiriwa na yupo bize lakini ikifika muda nianze kutaka kuleta maudundi yangu naishia kukasirika!!! Yeye akilala anakumbatiana na mtoto wake imeisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mimi sasa imebidi nipate kademu nje lakini ndo sina mizuka nako kabisaa
 
Baki njia kuu mkuu mbona hayo yanazungumzikaπŸ˜€
 
Usiwe hivyo bana, au bado hujawa baba? Lazima mwenzio ajue umeenda wapi, hata ukibadili mbele kwa mbele kikubwa akiulizwa cha kwanza atasema aliaga anaenda mahali fulani watu wanapata pakuanzia, incase limetokea jambo.
 
Wengine maisha yetu ya awali yanatuponza, tushazoea majinj huko, tunakuja kuona malaika wao kila kitu kwao kipya na kigeni, kufanya hawawezi unaishia kuteseka tu.

Lakini tusingeanza ufukunyuki mapema huenda wanayotenda wenzetu tungeona ndio booora zaid..
Hili nimeamua tu nilipokee sina namna.
 
Mimi pia napendelea Colgate zaidi, ila wifi hakumind kuminyia dawa mdomoni badala ya kwenye mswaki?
Hakuna cha mahindi wala mchele.. Hili sijawahi msikia akiliongelea, labda achukie nafsini, lakini hawezi mwanamke huyu jambo limkere asiseme aahh, labda sio yeye mrs makaveli tu, ataongea tu kuwa nimemkwaza au sio vizuri. πŸ˜‚πŸ€£
 
Bonge la Mke
Bonge la Mke
Bonge la Mke
 
Hakuna cha mahindi wala mchele.. Hili sijawahi msikia akiliongelea, labda achukie nafsini, lakini hawezi mwanamke huyu jambo limkere asiseme aahh, labda sio yeye mrs makaveli tu, ataongea tu kuwa nimemkwaza au sio vizuri. πŸ˜‚πŸ€£
Anakupa makavu yako uhangaike nayo kuomba msamaha, safi sana kwa Mrs. MπŸ˜€
 

Ni mapungufu unayoweza kuyarekebisha kwa mkeo sio magumu as long anakupenda
 
Mmmh aisee mwezi umeisha na kama week kazaa hivi nakula benchi!!! Hii haivumiliki ndo sababu nikafuta pisi kali yani mpaka yule nae ataniacha maana sipigi shoo zaidi ya story nae tu
Ongea na wife vizuri tu, sometimes mood zinakua down ujue, after sometimes atakua sawa, achana na mchepuko huko unaweza ukaharibu zaidiπŸ€”
 

[emoji23][emoji23][emoji23] kuyapokea sasa mkuu kuna time unawaza au kuna muhuni kaanza mambo yake kwa wife!!! Maana daaah utafikiri unaomba ajira kupitia utumishi mkuu yani unasubiri ile haswa na havieleweki period zinakutana ujalamba kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…