Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Wife wangu ni mvivu sana wa mizagamuo aisee na round hii nimechoka kubabake, yani anasababu mlima ndio ni mtumishi kaajiriwa na yupo bize lakini ikifika muda nianze kutaka kuleta maudundi yangu naishia kukasirika!!! Yeye akilala anakumbatiana na mtoto wake imeisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mimi sasa imebidi nipate kademu nje lakini ndo sina mizuka nako kabisaa
 
Baki njia kuu mkuu mbona hayo yanazungumzika😀
 
Sijawahi aga naenda wapi wala nitarudi lini au saa ngapi? Ko hata mechi za ugenini zinaponea humo!

Ni mwiko kuniuliza nilikuwa wapi au nimetoka wapi Ko mi hata saa nane usiku nitarudi/kutoka kwangu hilo halina mjadala alishazoe nirudi home nisirudi ye hana noma, simu yangu ni mwiko kuishika au kuhoji ulikuwa unaongea na nani?

Nilichoshindwa ni kumuita mama flani siwezi
Namuita kwa jina lake alishazoea po pote pale
Usiwe hivyo bana, au bado hujawa baba? Lazima mwenzio ajue umeenda wapi, hata ukibadili mbele kwa mbele kikubwa akiulizwa cha kwanza atasema aliaga anaenda mahali fulani watu wanapata pakuanzia, incase limetokea jambo.
 
Wife wangu ni mvivu sana wa mizagamuo aisee na round hii nimechoka kubabake, yani anasababu mlima ndio ni mtumishi kaajiriwa na yupo bize lakini ikifika muda nianze kutaka kuleta maudundi yangu naishia kukasirika!!! Yeye akilala anakumbatiana na mtoto wake imeisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mimi sasa imebidi nipate kademu nje lakini ndo sina mizuka nako kabisaa
Wengine maisha yetu ya awali yanatuponza, tushazoea majinj huko, tunakuja kuona malaika wao kila kitu kwao kipya na kigeni, kufanya hawawezi unaishia kuteseka tu.

Lakini tusingeanza ufukunyuki mapema huenda wanayotenda wenzetu tungeona ndio booora zaid..
Hili nimeamua tu nilipokee sina namna.
 
Mimi pia napendelea Colgate zaidi, ila wifi hakumind kuminyia dawa mdomoni badala ya kwenye mswaki?
Hakuna cha mahindi wala mchele.. Hili sijawahi msikia akiliongelea, labda achukie nafsini, lakini hawezi mwanamke huyu jambo limkere asiseme aahh, labda sio yeye mrs makaveli tu, ataongea tu kuwa nimemkwaza au sio vizuri. 😂🤣
 
Wakuuu habari za usiku.

Moja kwa Moja twende kwenye maada. Mimi kwa upande wangu mapungu yafuatayo kutoka kwa mama watoto wangu nimekubali KUISHI NAYO.

1. Kuto pokea simu.
Mke wa Mimi hapokei simu hata aione inaita hatashughulika NAYO Hadi amalize shughuli zake. Ukimpigia simu asipo pokea usijisumbue kutuma sms, ukituma Kuna siku utaisoma mwenyewe.

2. Dawa ya mswaki.
Kwenye matumizi ya hii KITU yeye huminya popote pale.

3. Hajichanganya na WATU.
Yeye ni kazini, nyumbani na kanisani. Haendi tofauti na maeneo hayo labda kwenye mambo ya jamii.

4. Ukimkosea hakuulizi na haoneshi kama amechukia ila utaulizwa siku nyingine na atawasilisha kwa njia ya utani.

5. Akikukosea ukiuliza atakuambia nisamehe baba......... hapo hata uongee vipi hatakujibu.

Hapendi kabisaa kijichanganya na WATU hasa ukitaka umuudhi fika nyumbani anza kumwongelea mtu hapendi kabisaa na anachukia kwa dhati.

Haya ndio baadhi ya mambo ambayo nimeamua KUISHI NAYO na nimefamikiwa KUISHI NAYO kwa muda wa miaka 19 ya ndoa yetu.
Bonge la Mke

Ni mapungufu unayoweza kuyarekebisha kwa mkeo sio magumu as long anakupenda
 
Mmmh aisee mwezi umeisha na kama week kazaa hivi nakula benchi!!! Hii haivumiliki ndo sababu nikafuta pisi kali yani mpaka yule nae ataniacha maana sipigi shoo zaidi ya story nae tu
Ongea na wife vizuri tu, sometimes mood zinakua down ujue, after sometimes atakua sawa, achana na mchepuko huko unaweza ukaharibu zaidi🤔
 
Wengine maisha yetu ya awali yanatuponza, tushazoea majinj huko, tunakuja kuona malaika wao kila kitu kwao kipya na kigeni, kufanya hawawezi unaishia kuteseka tu.

Lakini tusingeanza ufukunyuki mapema huenda wanayotenda wenzetu tungeona ndio booora zaid..
Hili nimeamua tu nilipokee sina namna.

[emoji23][emoji23][emoji23] kuyapokea sasa mkuu kuna time unawaza au kuna muhuni kaanza mambo yake kwa wife!!! Maana daaah utafikiri unaomba ajira kupitia utumishi mkuu yani unasubiri ile haswa na havieleweki period zinakutana ujalamba kitu
 
Back
Top Bottom