Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?


2 nilisikia kuna ndoa waliachana kisa kuminya popote dawa ya mswaki??

heeeh hii dunia sasa naww kumbe n mmoja wako eti nacho kinakukera
 
Kabla sijamuoa alikuwa akija kwangu anafua, kufagia na kudeki nyumba. Kumbe ananilaghai tu.
Simshauri ndugu yangu kuoa mwanamke asiyeishia nae pamoja chini ya mwaka.

Ni mchafu na Mvivu sana

Asante
[emoji2960][emoji848] Makubwa
Kwani kabla hujamuoa hukuona haya?
Yaani Bora mwanaume awe mchafu,sio mwanamke [emoji119][emoji119]
Pole sn
 
Kabla sijamuoa alikuwa akija kwangu anafua, kufagia na kudeki nyumba. Kumbe ananilaghai tu.
Simshauri ndugu yangu kuoa mwanamke asiyeishia nae pamoja chini ya mwaka.

Ni mchafu na Mvivu sana

Asante
Very true.

Japo pia kuna uwezekano mtu ukaishi naye kumbe mwenzio yupo kimkakati. anakuficha tabia zake mbayambaya hadi uingie laini umpe ndoa hapo ndo anaanzisha moto wake hadi maji uyaite mma.


Wakati nikiwa mdogo nilikuwa nashangaa kuna watu walikuwa wakibadilisha sana wanawake. unakuta saivi anaishi na mdada au mmama huyu ukija tena unakuta kamdump yule kaleta mwingine mpya, naye baada ya muda anamwacha analeta mwingine.

Lakini baada ya kupata umri nikagundua kuishi na mwanamke sio ishu ndogo aisee na ndomaana wanaume tunakufa mapema sana.

Hawa watu wengi wao ni pasua kichwa sana. yani usipojizima data tunakuimbia "[emoji445][emoji344]niagieni niagieni[emoji443][emoji444][emoji397]" sasaivi.

mi kuna kamoja hako huwa nakaangalia nakapotezea tu. yani unaweza kuwa umekaacha hom kamezungukwa na mazaga kibao ya kupika lakin mwenzio lazima atakupigia simu kuulizia leo apike nini. au ukirudi ubebe kile na kile cha kupika. yani kanaboa kweli. sijazoea maisha hayo. tena sometimes uko busy mwenyewe katikati ya mambo ya job unakuta kanapiga kukuuliza mambo ya misosi. yani kanapenda misosi balaa utafikiri kanakufa kesho.

mwanzoni nilidhani labda huyu atakuwa amemaliza vitu vya kula ndomaana anapiga simu baadaye nikagungua ndo alivyo.
 
kitambo nilikuwaga na mmoja hawa wanajifanya hapendi kutiana yani mnaweza kukaa hata weeks hata miezi yeye akugusi hadi wewe umshtue napo unakuta ukimgusa mashauzi kibao yani kifupi ni km hataki tu, weeh!

nikaona isiwe taabu nikatafuta mtu mwingine nikawa namaliza mambo yangu huko huko tena ile unakamua haswa unahakikisha kila angle imeguswa ndo unajirudisha hom tartibu macho makavu mwenyewe unavuta shuka unageukia ukutani hadi kunakucha!

baada ya miezi kadhaa bidada kaona haguswi popote hasumbuliwi tena akili zikarudi akaona hata hii haiwezekani lazma huyu mtu kuna chimbo anamalizia mambo yake ama la biashara imeshaisha hapa.

baada ya hapo ndo tukaanza kuongea lugha moja. yeye ndo akawa ananisumbua hlf mm ndo nadengua kishenzi mamaeeh!


kiukweli hizi ndoa za mke mmoja ni makosa makubwa sana kuruhusiwa. zinawapa viburi sana hawa wanawake na kuleta masaibu mengi kwa wababa.
 
Mambo ya kula pamoja wote nayapenda, home tangu nakua, wote tunakaa mezani tunapakua msosi pamoja awe mfanyakazi awe nani wote na Kwa wakati mmoja hakuna kusema sijui Mimi ntakula jikoni .
 
Watu wanapaswa kujua kuwa penzi pia kama ambavyo huanza kama kuzaliwa pia kuna wakati huisha na pengine kufa kabisa [emoji108][emoji108]

Ukilazimisha unaweza kuishia wewe mwenyewe [emoji3][emoji28]
 
Mkuu nimecheka eti Kila angle [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…