Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Mimi hata anune vp nna upwiru atanipa tu hata kwa kumbaka manina zake uninyime tam nikiisusa nitaenda kuitafuta ya nje atajuta kuniringishia
Kabisa huyo wa kumletea mwanamke mwingine ndani ili achague kukaa au kuondoka.
 
mume wangu hajali , hata kwenye mambo ya msingi
Anaweza akakupa hela labda ya kwenda site lakin ndo kila kitu utafanya mwenyewe
Fundi utatafta mwenyewe
H/ware utaenda mwenyewe
Nyumba utamwagilia mwenyewe,
hata penye kuhitaji marekebisho atakwambia we malizana na fundi unavyotaka iwe. kuuliza hela imetumikaje haulizi..ukimwambia imeisha atakwambia haya


Nimeongea sana, nimezira sana, lkn wapi
Inanikera ila basi tu ,sina namna
 
Mbna cjaona tatizo lolote hapo.
 
Kumbe kwenye ndoa swala la kuminya dawa ya mswaki hi serious hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Kama hujui kuminya dawa vizuri si unaweza kusababisha matatizo na utaonekana Ni mshamba? Kwangu Mimi hakuna mwanamke ninaye mthamini kwenye mahusiano Kama anaejua kuminya dawa ya msuwaki vizuri[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Carleen
 
Mbona hapo hamna shida mkuu? Au ulitaka awe anakubana bana mpaka usipumue?
 
Mbona hapo hamna shida mkuu? Au ulitaka awe anakubana bana mpaka usipumue?
Shida ipo mkuu
Mimi siwez kusimamia mafundi kama yeye, kwanza yy ni mwanaume fnd hawez leta mzaha
Pili uelewa wake na wangu khs ujenzi ni tofaut, why asisimame km mwanaume??

Hlf sasa usidhani hata anajambo la msingi sana la kufanya zaidi ya kaz
Akitoka kazini anapita baa...hapa ndo nakasirikaga mpk nataman ardhi ipasuke
Nimeamua niishi nalo tu
 
Hongera mkuu, una mke.
Ngj tuone wengine wanakumbana na kadhia zipi😁😁, nasoma comments
 
Shindikana katika ubora wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…