Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Personally mama chanja amekua nguzo kubwa sana kwangu. Tunatofautiana, yeye ni super organized alaf mimi sasa ni totally opposite. Kweli anajitahd, kila kitu anaweka sawa after me na ameshazoea.
Jam ni pale akinuna, wooi, ukizubaa mnaeza enda hata siku 3. Nlichoamua kufanya, nkiona amenuna, namtema kwanza nakua nahangaika na mishe zangu, anaanza kuona wivu, akishafika hyo stage, nakaza vifuniko vyote ndani ya nyumba, lazma anitafute aniombe msaada. Tunaanza kuongea tena.
Lakini watoto analea vzur, nyumba n safi mida wote, chakula standard kabisa n.k
Mungu ampe maisha marefu seedco wangu

[emoji16] tumetofautiana mi tu ndo ninune na anatakiwa aje kwa mahesabu kujua ni kipi kimenisibu ila ye akinuna anune tu siwezi taka kujua kilichomsibu
 
Hahah mkuu tunasafiri boti moja!

Mimi sasa nimepanga niende kwa fundi anitengenezee draw ndogo yenye lock kwa ajili ya kuweka vitu vyangu vidogo vidogo,jumapili iliyopita nilikuwa home sasa kuna wakati nikahitaji kutumia kalamu nikatafuta zinakokaa nikakosa kuna sehemu kabatini huwa naweka pen ya dharura kwenda kuangalia haipo mara anaenda kuileta kutoka juu ya fridge jikoni.

Na sijui alijuaje kama pana kalamu maana niliificha,socks kupata pair inayofanana ndiyo shughuli zaidi naweza kukaa mwezi sijavaa socks zinazofanana rangi utakuta rangi moja ipo kabatini moja ipo kwenye kamba nje nyengine zimechanganyika kwenye nguo za watoto,ni changamoto sana.
Hatariii sanaaaa, kama nakuona vile, hapo droo haita kusaidia uwe na chumba ambacho haingii mtu, na nguo zako ufue mwenyewe najua soks umetaja kitu kimoja tu.

Vipi kuhusu kitambaa cha mkononi,
 
Yaan ukiona call yake ni kama mama Samia kakupigia no excuse na video call juu hili swala nishaliongea sana kuwa mtu asisipokea simu ni kawaida atakurudia bado sieleweki
Ushawah omba msamaha kuwa umepitiwa na usingizi,ananijua nikiegesha fuvu kitandani basi usingizi unanimeza lakin naambiwa kwanin sijapokea simu inabidi niombe Radhi ,wakati kupitiwa usingizi sio jambo la hiyari inatokea tu umepitiwa jamani
Wivuuuu miwivuuu
Huo sio wivu, huyo hakuamini. Sipendi mtu wa kunipigia video call ovyo, mtu anakupigia hajui hata uko wapi na unafanya nini.
 
Mkuu siku utapata matatizo huko, yeye atahisi ni kawaida yako either kutokurudi home, yaani mkeo asikuulize umetoka wapi uchelewa bila taarifa, mbona ubabe sana[emoji848]

Toka nimemuoa sijawahi maliza mwezi kwangu safari ni za kufikia na yeye hilo halijawahi mkera keshazoea na nikuhakikishie kwenye ubabe ndo naponea
 
nyege, yan uyu kukutomba wiki nzima haoni hasara hta umpe vitatu kwa usiku mmoja bado kesho atataka tena, sijakataa ndio kutiana n muhim ila namwambia kuna siku ntakimbia na chupi mkononi na sio kua ukiwa mbali anateseka yan mnaweza shinda mbali kila mtu busy ila mkionana jioni tu tayari ana nyege, saa zingine najisemea atakua na hisia kali juu yangu lakini kuna mda najisemea awee this is too much am not a sex machine!
 
Wakuuu habari za usiku.

Moja kwa Moja twende kwenye maada. Mimi kwa upande wangu mapungu yafuatayo kutoka kwa mama watoto wangu nimekubali KUISHI NAYO.

1. Kuto pokea simu.
Mke wa Mimi hapokei simu hata aione inaita hatashughulika NAYO Hadi amalize shughuli zake. Ukimpigia simu asipo pokea usijisumbue kutuma sms, ukituma Kuna siku utaisoma mwenyewe.

2. Dawa ya mswaki.
Kwenye matumizi ya hii KITU yeye huminya popote pale.

3. Hajichanganya na WATU.
Yeye ni kazini, nyumbani na kanisani. Haendi tofauti na maeneo hayo labda kwenye mambo ya jamii.

4. Ukimkosea hakuulizi na haoneshi kama amechukia ila utaulizwa siku nyingine na atawasilisha kwa njia ya utani.

5. Akikukosea ukiuliza atakuambia nisamehe baba......... hapo hata uongee vipi hatakujibu.

Hapendi kabisaa kijichanganya na WATU hasa ukitaka umuudhi fika nyumbani anza kumwongelea mtu hapendi kabisaa na anachukia kwa dhati.

Haya ndio baadhi ya mambo ambayo nimeamua KUISHI NAYO na nimefamikiwa KUISHI NAYO kwa muda wa miaka 19 ya ndoa yetu.
Una mke mzuriz shukuru mungu. Sijaona upungufu hapo zaidi ya kutopokea simu. Ambacho pia siyo upungufu mkubwa
 
nyege, yan uyu kukutomba wiki nzima haoni hasara hta umpe vitatu kwa usiku mmoja bado kesho atataka tena, sijakataa ndio kutiana n muhim ila namwambia kuna siku ntakimbia na chupi mkononi na sio kua ukiwa mbali anateseka yan mnaweza shinda mbali kila mtu busy ila mkionana jioni tu tayari ana nyege, saa zingine najisemea atakua na hisia kali juu yangu lakini kuna mda najisemea awee this is too much am not a sex machine!
Tusipowatomba lawama, tukiwatomba lawama..
😂🤣
 
nyege, yan uyu kukutomba wiki nzima haoni hasara hta umpe vitatu kwa usiku mmoja bado kesho atataka tena, sijakataa ndio kutiana n muhim ila namwambia kuna siku ntakimbia na chupi mkononi na sio kua ukiwa mbali anateseka yan mnaweza shinda mbali kila mtu busy ila mkionana jioni tu tayari ana nyege, saa zingine najisemea atakua na hisia kali juu yangu lakini kuna mda najisemea awee this is too much am not a sex machine!
Itakuwa unaifinyia sana kwa ndani 😁
 
Brother hizo ndo characters za wanawake aseehhh ...hakuna baya hapoo
Ahsante dada, najua lakini ndio kwangu ni tabu, yaani mie kuongea na simu masaa mawili, naona kama umenilaza mahabusu, nahisi sikio kuwaka moto.
Japo siku hizi naingia kwenye mfumo wake dk 20,30 hivi naongea ila simu loudspeaker.

Ila hii ya kupiga simu 12 au 11 alfajiri ni adhabu kwangu. 😂🤣
 
Sema ke tukiombwa ombwa sana msamaha tunapataga ka hali flani kakujiona malaika au watakatifu tusiokosea hata jambo dogo tutautaka siku usipoomba ni kesi nzito, hapo sasa ndo tatizo
Wanawake akili zenu mnazijua wenyewe, dawa yenu ni sisi kuwa watu tusio tabilika, binafsi sitabiliki... Nashukuru nae anajua hilo, nikiomba msamaha linakuwa limeishia hapo, ila kama atajikuta ndio mwamba ataona rangi zoote za duniani mpaka mbinguni.
 
Back
Top Bottom