Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Wife wangu ni mvivu sana wa mizagamuo aisee na round hii nimechoka kubabake, yani anasababu mlima ndio ni mtumishi kaajiriwa na yupo bize lakini ikifika muda nianze kutaka kuleta maudundi yangu naishia kukasirika!!! Yeye akilala anakumbatiana na mtoto wake imeisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mimi sasa imebidi nipate kademu nje lakini ndo sina mizuka nako kabisaa
Kosa kubwa hilo. Ushauli (wa keshenzi )lakini unasaidia. We jenga ukalibu na housegirl utaona. Chelewa kulala kaa sebuleni nae mwambie(wife)kwamba sisi ndo kwanza tuaanza kuangalia tamthilia.
Ila muulize kilichomleta hapo ni nini? Na kazaliwa kwa kazi gani?
 
Wengine maisha yetu ya awali yanatuponza, tushazoea majinj huko, tunakuja kuona malaika wao kila kitu kwao kipya na kigeni, kufanya hawawezi unaishia kuteseka tu.

Lakini tusingeanza ufukunyuki mapema huenda wanayotenda wenzetu tungeona ndio booora zaid..
Hili nimeamua tu nilipokee sina namna.
Kitu kipya au kigeni kwa akina nani? Aise! Kumbe na wewe ndo hivi ulivyo? Mpaka anakubali kutoka kwao anakuja kuishi kwako ujue balaa. Kafata nini? Kazi ya kufua au?We vuta picha ya mtoto wa mtaani akatizavyo na kuruka mitaro. Wako hivo hivo. Hawa ma porofeshono we huwafikii hata chembe.
Sema tu unakuta limezagamuliwa huko lilikokuwa. Mengine yana mipango kesho yake, sasa ukimrukisha sarakasi af kesho akashindwa huko alikoahidi? Hao wajanja asikwambie. Chemsha injini,hataki anatembea.
 
Kwa upande wangu sina mke kwa sasa, lakini nina mpenzi, nampenda sana, ila huwa ananichekeshaga sana.

1. Ana hasira za karibu(Plus ukorofi)
-kipindi ambacho anakujaga kuishi kwangu huwa anafanya vitu vinanikera sana hadi sometimes nachekaga tuu, ana sura ya kitoto, sauti ya kitoto, ni mfupi, yaan basically ni mtoto ndo maana hata akinikera nashindwa hata cha kumfanya mwishowe nacheka tuu.
-huwaga mara nyingi nachelewaga kurudi, sasa yeye hataki nichelewe kurudi, hataki kabisaaa, na ukimwambia nilikuwa sehemu flani hataki, yeye anachojua mm nilikuwa na wanawake wengine, hii inampelekea kufoka, kununa(sunajua zile morning drama, yaan asubuhi anawasha generator, halizimiki hata useme nn) pamoja na kushtaki kwa mama angu, sasa kuna siku hio sitoisahau, tulikuwa tunabishana akanimwagia maji usoni, aisee nilikasirika vibaya mno, aligundua nimekasirika akaanza kujiliiza, ugomvi wenyew ulikuwa ni wa kijinga sana, huwaga anafanya mambo kwa hasira alaf badae anaanza kujuta.

2. Anapenda kulia
-Baada ya kukukera, ukianza kuja juu analia, atalia hapo nusu saa nzima, Kitu kidogo tuu analia, na akianza kulia atakukumbushia mambo uliyomfanyia miezi sita iliyopita, na analia kokote hachagui sehemu ya kulia, barabarani, kweny mgahawa, kanisani etc
-Kuna siku tulikuwa kweny mkusanyiko wa watu akaanza kulia hadi watu wakawa wanatuangalia, na ukimbembelea ndo unachochea.
-Yaan ukimkosea analia na akikukosea wewe bado analia yeye, hadi leo bado sijaelewa hio kitu ikoje.

3. Anaongea sana
-Ila sikuiz nishamzoea, akianza kuongea naweka simu chini naanza kumsikiliza, anapenda sana kuniadisia mambo yake, na akianza kuadisia hamalizi, huwa sometimes hadi nasinzia, utakuta ananishtua anasema "mbona unalala au nakuboa?" sasa ole wako useme "Ndio", utazalisha kesi nyingine na mwisho wake ni vilio.

Mazuri yake;
-Anapatana sana na mama yangu.
-Ananipaga ushauri mzuri.
-Ni msafi.
-Pamoja na kuwa mkorofi anajua wapi amekosea na anaomba msamaha
-Ana maisha yake, hapendi kuiga watu.
-Anajiheshimu sana, havai nusu uchi.
-Hatumii pombe, sigara wala kilevi chochote, sio mtu wa kwenda bar/club.
-Ana hofu ya mungu.
Ni kama tuna date manzi mmoja.
 
[emoji16][emoji16] ndo zangu hata remote iwe hapo karibu lazima aje anipe yeye nikikaa nimekaa viatu na sox anivue alete open nyepes nivae alishazoe wamgu
Acheni utemi hata sisi kazi za nyumbani zinachosha🤨
 
Umbea….. kila jion hua sitakiwi kua karibu na simu wala tv, nikuanza kupewa habari za kitaifa na kimataifa, kabla ya kua nae sikuwahi kujua ni mbea kiasi hiki, umbea ukiwa mpya napigiwa simu nikiwa kazini niwahi nyumban leo kumbe issue ni umbea tu, yan akikosa umbea atanza hata kunipa story za mtoto au wateja wake kazini yan akikosa kabisa ananza kuniletea story za kwenye viseries vya kwenye group zake huko ilimradi aongee tu na kumsikiliza iyo ni lazima sio ombi.
Mke wako anapenda kuongea sana na ww, huenda wewe ni mkimya sana. Hivo analazimika kua mtafutaji na muanzishaji wa mada.

Ila bora kua na mke muongeaji kuliko mwenye Gubu.
 

Attachments

  • download (5).jpeg
    download (5).jpeg
    9.4 KB · Views: 11
  • IMG_20210111_223617.jpg
    IMG_20210111_223617.jpg
    147.8 KB · Views: 11
  • 689219.png
    689219.png
    57 KB · Views: 9
  • IMG-20170928-WA0025.jpg
    IMG-20170928-WA0025.jpg
    24.4 KB · Views: 8
  • tapatalk_1503282939282.jpeg
    tapatalk_1503282939282.jpeg
    18.7 KB · Views: 9
  • 497764fcc739da5c062b0d5767654244.jpg
    497764fcc739da5c062b0d5767654244.jpg
    32.7 KB · Views: 8
  • IMG-20170811-WA0048.jpg
    IMG-20170811-WA0048.jpg
    42.5 KB · Views: 8
Back
Top Bottom