Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Unaonekana umekuwa sasa, mambo ya kupigiwa simu huokoti au humrudii mtu ni ya kizamani sana.
aBinafsi nakuwaga sipo bize sana na simu,
Kwasasa nimejifunza, sikai mbali na simu labda iwe haina chaji,
Na mama bora akupigie usipatikane lkn kuliko usipokee.