Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Anakupa makavu yako uhangaike nayo kuomba msamaha, safi sana kwa Mrs. M😀
Makavu, 😂😂🤣
Anatafuta tu namna nzuri ya kuliweka jambo ila we unajua kuwa haoa nimemkosea.

Vitu vidogo vidogo kama hivi mmaweza kuzungumza katika namna ya masihara.
Kueleza nimemkwaza ujue hilo sio suala jepesi jepesi, madogo madogo sio kesi kabiisa.
 
Usiwe hivyo bana, au bado hujawa baba? Lazima mwenzio ajue umeenda wapi, hata ukibadili mbele kwa mbele kikubwa akiulizwa cha kwanza atasema aliaga anaenda mahali fulani watu wanapata pakuanzia, incase limetokea jambo.

Sidhani nimjulishe naenda wapi ye tushazoeana bana apige simu mara 2 kwa siku asubuhi na usiku saa 2 ndo nimjulishe nilipo tena akiuliza naweza mwambia nipo Dar asubuhi jioni dodoma au ikikata anajua huyu hayupo nchini ahamie whatsapp voice call na video call ni mie tu ndo napaswa kumpigia sio yeye
 
Huo ni ukosefu na utovu wa nidhamu.

Kifungu cha 6 kwenye kanuni za wanaume kosa hilo lina adhabu yake.
Khaaa si yanaisha kweli? Jikaze, tafuta hata 90,000 weka kwa mama ntilie. Chakula na soda, mchana na jioni. Chai potezea. Akipika anakula mwenyewe. Rudi home,cheza na watoto, nguo fua mwenyewe,nyoosha mwenyewe. Kama anakuzidi kipato ndo ujue ulijichanganya zamani. Ila kama anakutegemea? Siku ya siku utaona kaitisha vikao. Wambie huna shida, umejipa likizo tu ya hayo maisha ikiisha watajua.
Kikubwa tu hakikisha matumizi unawapa tu.
Kama mnywaji mzuri,lewa, piga solo sebureni burudika na wanao,akikuchekea mwambie mi siyo Saidi ujue!
Akijifanya anajua kulia,muache alale,mwambie dada wa kazi akalaze watoto, muite mpe hata 10, pooza nyege. Biashara kwisha.

Yule ndege hafugikiiii. Mnalazimisha tu
 
Mkuu yani wife wangu hama time na mimi yani mara zote yeye sa3 kalala mimi huwa nalala sa8 au9 yani hana hata hofu!!! Kuna siku nimemuangalia dada msaidizi wetu nikaanza kumuona kama ni mzuri hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikalikataa hili pepo maana nimeshaapa sitakuka nitembee na dada wa kazi
Mtafune bana 🤣 mtoto kaiva kabisa yule
 
Nyie mnapendaga mtu mwenye wivu toka lini. Sindio mwanzo wa kuitwa msumhufu
Aisee mimi napenda awe na wivu na mimi h, wala sitomuona msumbufu, imagine mtu hana wivu na yaani fanya unachojiskia wala hajali, hapigi simu mmh hapo hamna upendo. Raha ni hvyo kidogo usipopokea simu anamind, yaani wivu wivu tu flani😍😀
 
Back
Top Bottom