Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Hapa kweli umenitusi ila nakuchuni mwanangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unafikiri kwenye kuzagamua kuna ubabe mkuu labda kama upo na malaya ila mwanamke unaempenda huwezi kwenda nae kichwa kichwa!!!! Nikifatisha ushauri wako ndoa imevunjika acha kuniponza mkuu!! Alafu mimi sio kibonge we fala[emoji23][emoji23][emoji23]
We shikilia ndoano yako. Ndo iko wapi? Ilivunjika siku ya kwanza unamgegeda kama hujui. Bila mwanaume kuwa katili? Siku hizi? Umekwisha wewe. Ali Kiba alisemaje? Si aliishia tu kushika kichwa! Kama hakuna ubabe basi awe na heshima,hekima na kauli nzuri. Kwa hiyo, mwanamke kwako ni wa kubembeleza?
Sawa. Mi ni fala. Nimeshajua wewe ni ba mkubwa😂😂😂😂😂, ila mpaka unakuja hapa? Kimenuka.

Kwanza weka picha yake hapa tuone kama ana hadhi ya kukuumiza kichwa.
-Mi siwezi kuomba msamaha kwa mwanamke.
-Jumatatu hadi jpili tupo chumba kimoja? Haiwezi kutokea.
-Tarehe moja hadi mwisho wa mwezi tunacheka? Kwa mazingaombwe gani labda!
-Eti kumuonea wivu! Neva. Azagamuliwe huko, na mi ntazagamua wengine, hata na mama yake kama analipa? Nampiga. Kikubwa tu mmewe asiwe hai au wawe wanaishi.
-Usimnyime tu chakula na huduma nyingine. Si kataka menyewe! Af unakuta kiburi yanatoa vijiweni, yanakuja kujaribu maagizo home.

Wameyataka wenyewe,acha wayaishi.
 
Hio tabia wanawake wengi wanayo na sio tabia ya kujivunia. Ni aina flani tu ya mapuuza ambayo wengi mnayaendekeza. Simu unapigia ni urgent issue hupokei. Maana yake ni nini sasa.
Wangu akiamka anaacha simu ndani mpaka ukirudi ndiyo anaanza kutumia simu yako kutafuta simu yake hajui hata ilipo.

Dah hawa watu.
 
We shikilia ndoano yako. Ndo iko wapi? Ilivunjika siku ya kwanza unamgegeda kama hujui. Bila mwanaume kuwa katili? Siku hizi? Umekwisha wewe. Ali Kiba alisemaje? Si aliishia tu kushika kichwa! Kama hakuna ubabe basi awe na heshima,hekima na kauli nzuri. Kwa hiyo, mwanamke kwako ni wa kubembeleza?
Sawa. Mi ni fala. Nimeshajua wewe ni ba mkubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ila mpaka unakuja hapa? Kimenuka.

Kwanza weka picha yake hapa tuone kama ana hadhi ya kukuumiza kichwa.
-Mi siwezi kuomba msamaha kwa mwanamke.
-Jumatatu hadi jpili tupo chumba kimoja? Haiwezi kutokea.
-Tarehe moja hadi mwisho wa mwezi tunacheka? Kwa mazingaombwe gani labda!
-Eti kumuonea wivu! Neva. Azagamuliwe huko, na mi ntazagamua wengine, hata na mama yake kama analipa? Nampiga. Kikubwa tu mmewe asiwe hai au wawe wanaishi.
-Usimnyime tu chakula na huduma nyingine. Si kataka menyewe! Af unakuta kiburi yanatoa vijiweni, yanakuja kujaribu maagizo home.

Wameyataka wenyewe,acha wayaishi.

Mkuu punguza jazba[emoji23][emoji23][emoji23] mambo yakupigana yakishamba sana!!! Mimi sipigi mwanamke.... sasa usipo bembeleza itakuwaje? Kulala chumba kimoja ndo inakuwaje? Raha ya mapenzi nipe nikupe sio kubakana mkuu,

alafu mkuu mimi hayaja nishinda nimechangia mada mkuu siku yakinishinda napandisha uzi hapa jukwaani ila kwa leo soma kichwa cha habari kinasemaje alafu urudi.
Picha ya nini tena humu mkuu?? Upo sawa kweli jamaa???
 
Rudia kusoma au urudi shule bwana mkubwa. Nampiga hapa nimeongelea kuzagamua. Kushushiana vipigo ya nini? Mi jitu ya siku hizi unagusa taa inazima mazima unaenda kuozea jela. Akha. Haeleweki,maamzi yake. Jukumu la malezi,lilikuwa la wazazi. Wameshindwa wewe utaweza?
 
Mkuu punguza jazba[emoji23][emoji23][emoji23] mambo yakupigana yakishamba sana!!! Mimi sipigi mwanamke.... sasa usipo bembeleza itakuwaje? Kulala chumba kimoja ndo inakuwaje? Raha ya mapenzi nipe nikupe sio kubakana mkuu,

alafu mkuu mimi hayaja nishinda nimechangia mada mkuu siku yakinishinda napandisha uzi hapa jukwaani ila kwa leo soma kichwa cha habari kinasemaje alafu urudi.
Picha ya nini tena humu mkuu?? Upo sawa kweli jamaa???
Mkuu,
Naomba usijibizane naye huyo tafadhali, kuna namna he is not okay upstairs, nimejaribu kusoma baadhi ya comments zake nimeshangaa sana..!!

baada ya kusoma comments nimekuja gundua kuna watu afya ya akili kwao ni tatizo kubwa sana..!!

Mtu anaandika kitu mpaka unajiuliza na huyu ni Baba na Mume wa mtu pahala kweli..!!?

Maana ni upupu mwanzo - mwisho, Mungu tubarikie na tutunzie hawa wanaume wetu wenye akili timamu waliobaki..!!🙏
 
Maana ni upupu mwanzo - mwisho, Mungu tubarikie na tutunzie hawa wanaume wetu wenye akili timamu waliobaki..!![emoji120]

Nashukuru sana mkuu nimekuelewa[emoji1431][emoji1431]
 
Mkuu punguza jazba[emoji23][emoji23][emoji23] mambo yakupigana yakishamba sana!!! Mimi sipigi mwanamke.... sasa usipo bembeleza itakuwaje? Kulala chumba kimoja ndo inakuwaje? Raha ya mapenzi nipe nikupe sio kubakana mkuu,

alafu mkuu mimi hayaja nishinda nimechangia mada mkuu siku yakinishinda napandisha uzi hapa jukwaani ila kwa leo soma kichwa cha habari kinasemaje alafu urudi.
Picha ya nini tena humu mkuu?? Upo sawa kweli jamaa???
Sitaki sasa. We si ulikuja kuongelea mapungufu/tabia vinavyokela?

Iko hivi. Unachukulia simple, badae unapotezea, baada ya siku unachukulia poa, badae tena unawaza kuna nini, badae tena unahoji kulikoni, badae unapanda jukwaani. Kumbuka. Si kila kitu unaleta hapa lazima mengine upindishe ila kaukweli kapo.

Sasa basi,ni kwamba unajikaza tu lakini si kwamba unapenda. Sasa acha mzee akwambie kwamba mama yako hajawahi kunisumbua hata kidogo. Unaanza kumtafuta Bi Kasie na FaizaFoxy .

Umechangia mada ndio lakini umeleta lalamiko,lipo kwenye faili lako ngoja tukutunzie
 
Mkuu,
Naomba usijibizane naye huyo tafadhali, kuna namna he is not okay upstairs, nimejaribu kusoma baadhi ya comments zake nimeshangaa sana..!!

baada ya kusoma comments nimekuja gundua kuna watu afya ya akili kwao ni tatizo kubwa sana..!!

Mtu anaandika kitu mpaka unajiuliza na huyu ni Baba na Mume wa mtu pahala kweli..!!?

Maana ni upupu mwanzo - mwisho, Mungu tubarikie na tutunzie hawa wanaume wetu wenye akili timamu waliobaki..!!🙏
Teh teh teh teh teh sasa! Kwa hiyo tufiche maovu yenu? Alaa! Mi mme wa watu si mme wa mtu tafadhali. Tengua hiyo kauli
 
Mi huwa siwezi kukibana kicheko muda mwingine nacheka tu 😂😂😂 maana kuna vitu vinachekesha ujue ila kuna wanaume wanajua kupenda sana mpaka raha yaani
Kiukweli upendo upo sana tu, tatizo mtu unayeamua kumpenda je na yeye anahitaji huo upendo. Tabu iko hapo sasa. Unampenda mtu unamjali ila kumbe yeye anakuona we huna akili unajikomba komba kwake 🤣
 
Hahahahah hakunaga cha shida wala nini ni dharau tu. Mwanamke ukimfanya akuhitaji zaidi ya unavyomuhitaji anakuwaga na adabu. Ila ikiwa vice versa anaona yeye anaanza kuona wewe una udhaifu anatafta mwanaume wa kumburuza na kumfanya akili yake iwe inawaza tu mda mwingi.

Inshort ukimpuumzisha sana mwanamke kihisia hapendagi hio hali. Hata wewe wanaume waliokuwa wapole sana kwako kuna jinsi ulikuwa unawaringia ringia sana. Ila yule mbabe ndio aliyekunyoosha.
Madini tupu mkuu.
 
Back
Top Bottom