Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Binti kiziwi anataka apokelewe na boda wakeSasa kupokelewa kuna ubaya gani jaman?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binti kiziwi anataka apokelewe na boda wakeSasa kupokelewa kuna ubaya gani jaman?
We shikilia ndoano yako. Ndo iko wapi? Ilivunjika siku ya kwanza unamgegeda kama hujui. Bila mwanaume kuwa katili? Siku hizi? Umekwisha wewe. Ali Kiba alisemaje? Si aliishia tu kushika kichwa! Kama hakuna ubabe basi awe na heshima,hekima na kauli nzuri. Kwa hiyo, mwanamke kwako ni wa kubembeleza?Hapa kweli umenitusi ila nakuchuni mwanangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unafikiri kwenye kuzagamua kuna ubabe mkuu labda kama upo na malaya ila mwanamke unaempenda huwezi kwenda nae kichwa kichwa!!!! Nikifatisha ushauri wako ndoa imevunjika acha kuniponza mkuu!! Alafu mimi sio kibonge we fala[emoji23][emoji23][emoji23]
Wangu akiamka anaacha simu ndani mpaka ukirudi ndiyo anaanza kutumia simu yako kutafuta simu yake hajui hata ilipo.Hio tabia wanawake wengi wanayo na sio tabia ya kujivunia. Ni aina flani tu ya mapuuza ambayo wengi mnayaendekeza. Simu unapigia ni urgent issue hupokei. Maana yake ni nini sasa.
Usishangae, wengi naona wanakereka sana hiyo kuminya dawa sehemu yoyote.Hili we ndiyo una tatizo. Sasa dawa ya mswaki nayo ni ya kutafuta sehemu ya kuminya!!! Dunia ina mambo.
We shikilia ndoano yako. Ndo iko wapi? Ilivunjika siku ya kwanza unamgegeda kama hujui. Bila mwanaume kuwa katili? Siku hizi? Umekwisha wewe. Ali Kiba alisemaje? Si aliishia tu kushika kichwa! Kama hakuna ubabe basi awe na heshima,hekima na kauli nzuri. Kwa hiyo, mwanamke kwako ni wa kubembeleza?
Sawa. Mi ni fala. Nimeshajua wewe ni ba mkubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ila mpaka unakuja hapa? Kimenuka.
Kwanza weka picha yake hapa tuone kama ana hadhi ya kukuumiza kichwa.
-Mi siwezi kuomba msamaha kwa mwanamke.
-Jumatatu hadi jpili tupo chumba kimoja? Haiwezi kutokea.
-Tarehe moja hadi mwisho wa mwezi tunacheka? Kwa mazingaombwe gani labda!
-Eti kumuonea wivu! Neva. Azagamuliwe huko, na mi ntazagamua wengine, hata na mama yake kama analipa? Nampiga. Kikubwa tu mmewe asiwe hai au wawe wanaishi.
-Usimnyime tu chakula na huduma nyingine. Si kataka menyewe! Af unakuta kiburi yanatoa vijiweni, yanakuja kujaribu maagizo home.
Wameyataka wenyewe,acha wayaishi.
Rudia kusoma au urudi shule bwana mkubwa. Nampiga hapa nimeongelea kuzagamua. Kushushiana vipigo ya nini? Mi jitu ya siku hizi unagusa taa inazima mazima unaenda kuozea jela. Akha. Haeleweki,maamzi yake. Jukumu la malezi,lilikuwa la wazazi. Wameshindwa wewe utaweza?Mkuu punguza jazba[emoji23][emoji23][emoji23] mambo yakupigana yakishamba sana!!! Mimi sipigi mwanamke.... sasa usipo bembeleza itakuwaje? Kulala chumba kimoja ndo inakuwaje? Raha ya mapenzi nipe nikupe sio kubakana mkuu,
alafu mkuu mimi hayaja nishinda nimechangia mada mkuu siku yakinishinda napandisha uzi hapa jukwaani ila kwa leo soma kichwa cha habari kinasemaje alafu urudi.
Picha ya nini tena humu mkuu?? Upo sawa kweli jamaa???
Mkuu,Mkuu punguza jazba[emoji23][emoji23][emoji23] mambo yakupigana yakishamba sana!!! Mimi sipigi mwanamke.... sasa usipo bembeleza itakuwaje? Kulala chumba kimoja ndo inakuwaje? Raha ya mapenzi nipe nikupe sio kubakana mkuu,
alafu mkuu mimi hayaja nishinda nimechangia mada mkuu siku yakinishinda napandisha uzi hapa jukwaani ila kwa leo soma kichwa cha habari kinasemaje alafu urudi.
Picha ya nini tena humu mkuu?? Upo sawa kweli jamaa???
Pole ila si una malizia kwa Mama J?
Mkuu,
Naomba usijibizane naye huyo tafadhali, kuna namna he is not okay upstairs, nimejaribu kusoma baadhi ya comments zake nimeshangaa sana..!!
baada ya kusoma comments nimekuja gundua kuna watu afya ya akili kwao ni tatizo kubwa sana..!!
Mtu anaandika kitu mpaka unajiuliza na huyu ni Baba na Mume wa mtu pahala kweli..!!?
Maana ni upupu mwanzo - mwisho, Mungu tubarikie na tutunzie hawa wanaume wetu wenye akili timamu waliobaki..!![emoji120]
Sitaki sasa. We si ulikuja kuongelea mapungufu/tabia vinavyokela?Mkuu punguza jazba[emoji23][emoji23][emoji23] mambo yakupigana yakishamba sana!!! Mimi sipigi mwanamke.... sasa usipo bembeleza itakuwaje? Kulala chumba kimoja ndo inakuwaje? Raha ya mapenzi nipe nikupe sio kubakana mkuu,
alafu mkuu mimi hayaja nishinda nimechangia mada mkuu siku yakinishinda napandisha uzi hapa jukwaani ila kwa leo soma kichwa cha habari kinasemaje alafu urudi.
Picha ya nini tena humu mkuu?? Upo sawa kweli jamaa???
Teh teh teh teh teh sasa! Kwa hiyo tufiche maovu yenu? Alaa! Mi mme wa watu si mme wa mtu tafadhali. Tengua hiyo kauliMkuu,
Naomba usijibizane naye huyo tafadhali, kuna namna he is not okay upstairs, nimejaribu kusoma baadhi ya comments zake nimeshangaa sana..!!
baada ya kusoma comments nimekuja gundua kuna watu afya ya akili kwao ni tatizo kubwa sana..!!
Mtu anaandika kitu mpaka unajiuliza na huyu ni Baba na Mume wa mtu pahala kweli..!!?
Maana ni upupu mwanzo - mwisho, Mungu tubarikie na tutunzie hawa wanaume wetu wenye akili timamu waliobaki..!!🙏
Gubu ni complaining over trivial issues. Japo hata ikiwa ni vitu vya msingi still mwanamke atakuita una gubuHivi Gubu maanake nini?
Hili neno nalisikia tuu, ila silielewi
😂😂😂😂 Hii imeenda!Sasa wewe dawa ni kumdanganya ushafika ilihali ndio uko angani 🤣 ili muende sawa
Kiukweli upendo upo sana tu, tatizo mtu unayeamua kumpenda je na yeye anahitaji huo upendo. Tabu iko hapo sasa. Unampenda mtu unamjali ila kumbe yeye anakuona we huna akili unajikomba komba kwake 🤣Mi huwa siwezi kukibana kicheko muda mwingine nacheka tu 😂😂😂 maana kuna vitu vinachekesha ujue ila kuna wanaume wanajua kupenda sana mpaka raha yaani
Nayeye akifika kabla yako atainjoy sana kushangaa bustani za Airport pale😂😂😂😂 Hii imeenda!
Kumbe unapenda uonewe wivu eehKabisa kwa ulimwengu huu kumpata mtu walau wa kukuonea wivu ni baraka aisee
Madini tupu mkuu.Hahahahah hakunaga cha shida wala nini ni dharau tu. Mwanamke ukimfanya akuhitaji zaidi ya unavyomuhitaji anakuwaga na adabu. Ila ikiwa vice versa anaona yeye anaanza kuona wewe una udhaifu anatafta mwanaume wa kumburuza na kumfanya akili yake iwe inawaza tu mda mwingi.
Inshort ukimpuumzisha sana mwanamke kihisia hapendagi hio hali. Hata wewe wanaume waliokuwa wapole sana kwako kuna jinsi ulikuwa unawaringia ringia sana. Ila yule mbabe ndio aliyekunyoosha.
AmeeenAah hapana why umcheat mtu anayekupenda na kukuheshimu? Wadada hadi kumcheat mtu labda kuwa na shida kuubwa, tuna upendo wa dhati sana sisi 😀
Hahahahahah tulia utumwe mrembo, niletee maji ya kunywa kwanzaTabia nyingine ya kutuma hivi hawa viumbe wakioa wanakuwa walemavu wa miguu na mikono🤨
Hahah hii huduma kumbe ipo jamani wenzetu wanafaidi sana kumbe dah 🤣🤣🤣 wengine ukigusa nyonyo unakula bao!Namnyonyesha tu sioni shida na napenda sana 😂😂😂 kinachofatia alooooo