Mpiga Paspoti
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 309
- 1,273
Umbea….. kila jion hua sitakiwi kua karibu na simu wala tv, nikuanza kupewa habari za kitaifa na kimataifa, kabla ya kua nae sikuwahi kujua ni mbea kiasi hiki, umbea ukiwa mpya napigiwa simu nikiwa kazini niwahi nyumban leo kumbe issue ni umbea tu, yan akikosa umbea atanza hata kunipa story za mtoto au wateja wake kazini yan akikosa kabisa ananza kuniletea story za kwenye viseries vya kwenye group zake huko ilimradi aongee tu na kumsikiliza iyo ni lazima sio ombi.
Ukiona kaacha kukupa umbea!! Sign kubwa sana, kuna mahali anapeleka na akimaliza kuthimulia tu......!!!