Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Aaah na upole wote huu unaniita kivuruge!!! 😭😭😭Hahahahahah ofcourse akili zipo nyingi mno tena ku deal na vivuruge kama wewe ndio kipaji kabisa🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah na upole wote huu unaniita kivuruge!!! 😭😭😭Hahahahahah ofcourse akili zipo nyingi mno tena ku deal na vivuruge kama wewe ndio kipaji kabisa🤣
Jamani, mapungufu yako, mapungufu yetu.Wako ana mapungufu gani tujifunze kitu mkuu
Kumbe ni mimi mwenyewe 😀Jamani, mapungufu yako, mapungufu yetu.
Kweli hamna jema duniani 😀 ukilia unaonekana msanii, usipolia unaoneka kauzu hujaliNyie mnaolia ndio balaa kabisa, hakuna mtu ambaye msanii kama anayetumia machozi kuonesha hisia zake. Unaweza kulia kinafki kuonesha umejutia kosa kumbe unamfanya mwenzio zoba 🤣
Aisee 🥰 ngoja nijipe 2 weeks nijifanyie evaluation 😀Here we go 😁😁 hata ikibaki robo
Haikuwi na muonekano mbayaView attachment 2824751
we umetoka kanda ya ziwa?[emoji16] tumetofautiana mi tu ndo ninune na anatakiwa aje kwa mahesabu kujua ni kipi kimenisibu ila ye akinuna anune tu siwezi taka kujua kilichomsibu
😂Asante kwa kunikumbusha silaha madhubuti kabla mwaka haujaisha itakuwa imetumika effectivelyhahahahah si utamnyonyesha kidogo
[emoji16][emoji16]Siipendi hiyo "Basi yaishe" imekaa kama an informal way ya kusema "Ninyamazie"
Ahsante brotherAiseee Mr. Narcissist huyo mtu usimuache.
Akiminya popote kuna shida gani? Maana kwa uzoefu wangu wa hizi kasha za plastiki dawa inaisha vilevile tu.Ndiyo....
Unatakiwa uminye chini kwenda juu mpaka siku imalizike....sio unaminya hovyo tu..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bora wewe unajibiwa asante baba, wengine ni wanabisha hawajakosea na wako sahihi.. [emoji1787][emoji23]
Ukishinda hoja utaambiwa basi yaishe.
Nina mwanangu ana majanga, wakati mwingine unaona hata aibu kumtembelea nyumbani kwake.
Mkewe ana kaujeri kakimya kimya, ukimuona ni mpole lakini ni mjeuri kinoooma, mwanangu anapata tabu saana, kuna muda anafikiria kumuacha.
Mie wangu ni kutaka kujua kila kitu in details, ananiboa saana, chochote kile atataka in details, hata apige simu mtu akuongeleshe atakuuliza nani huyo, ndio yupi. [emoji23][emoji1787] Unamuliza utamjuaje sasa, hata nikikutajia fulani huwezi kumjua [emoji23], sijui ni kupenda kuongea na simu au vipi
Hata umpelekee zawadi atataka kujua yoote, kama umekopa, umemnunulia na sh ngapi, unajiuliza we unataka kujua nini, yaani ni shughuli pevu [emoji23]
Kingine anapenda mnoo kuongea na simu, bora muwe karibu hii inasaidia, akiwa mbali anapiga simu ataongea mpaka stori zaitaisha, mie mvivu kubonga na FONI naishia kuweka loudspeaker tu.
Sometimes hana stori, anakupihia anakwambia mwanao anakuita, sasa mtoto Mwenyewe ndio bado hajatimiza mwaka vizuri, kuongea haongei, unajua tu hapa nimemisiwa.
Mengine madogo madogo, yanachangiwa na maisha yangu ya awali.
Elewa neno AWALI. lizingatie vema.
Basi tu lazima kuwe na ligiSasa kuna ubaya gani ku admit kwamba umekosea na uombe radhi. I wonder how is it supposed to be an issue?
Wakuuu habari za usiku.
Moja kwa Moja twende kwenye maada. Mimi kwa upande wangu mapungu yafuatayo kutoka kwa mama watoto wangu nimekubali KUISHI NAYO.
1. Kuto pokea simu.
Mke wa Mimi hapokei simu hata aione inaita hatashughulika NAYO Hadi amalize shughuli zake. Ukimpigia simu asipo pokea usijisumbue kutuma sms, ukituma Kuna siku utaisoma mwenyewe.
2. Dawa ya mswaki.
Kwenye matumizi ya hii KITU yeye huminya popote pale.
3. Hajichanganya na WATU.
Yeye ni kazini, nyumbani na kanisani. Haendi tofauti na maeneo hayo labda kwenye mambo ya jamii.
4. Ukimkosea hakuulizi na haoneshi kama amechukia ila utaulizwa siku nyingine na atawasilisha kwa njia ya utani.
5. Akikukosea ukiuliza atakuambia nisamehe baba......... hapo hata uongee vipi hatakujibu.
Hapendi kabisaa kijichanganya na WATU hasa ukitaka umuudhi fika nyumbani anza kumwongelea mtu hapendi kabisaa na anachukia kwa dhati.
Haya ndio baadhi ya mambo ambayo nimeamua KUISHI NAYO na nimefamikiwa KUISHI NAYO kwa muda wa miaka 19 ya ndoa yetu.
Labda kama unafanya kazi pale tai mkuu kwamba kuna wengine wanajua ulipo incase of anything.
Nimesoma weeee....! Sijaona mtu anayekabiliwa na mapungufu ninayokabiliana!!
Nimeoa msichana mzuri, tulikuwa tunafanana tabia kama kupenda kusikiliza aina fulani ya music pamoja. Kutoka outing, kupiga wine zetu wenyewe daaah!! Tukisafiri itaandaliwa collection ya music na humo garini ni raha tupu.
Sijui kakutana na mitume gani pumbafu!! Wamemfanya amebadilika totally, amekuwa mwoga wa maisha, anaogopa kufa kama yeye ndo atakufa pekee.
Nyumbani!! Hakuna kusikiliza music ni dhambi, no wine no anything!! Nyumba ipo kimyaaa....!!
Hakuna utani hakuna stories muda wote ni kuomba na kulia mpaka namshangaa kilichomkuta!!
Hakuna kujipodoa wala kusukia nywele bandia, dhambi!! Kuna manguo yao kama sketi za charanga yaan!! Kawa kama bibi fulani hivi!
Muda wote ni serious! Mkali kwa watoto mkali kwangu japo nilishamuwasha kwangu mie haleti ujinga wake.
Imebidi niwashike watoto (nipo nao close) maana niliona wanakuwa victims kwa hii tabia iliyokuja. Naye nimemuacha ajiendeshe mwenyewe kwanza akirudi kawaida tutaelewana.
Maisha nimeamua kuyafanya kama naishi alone kwanza ili mambo yaende ila ni kero kubwa saaana!!
we umetoka kanda ya ziwa?
we umetoka kanda ya ziwa?
nahisi naishi na CIA kabisa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo kwenye in details, amekuwa shushushu
Hapo sawa.No yeye hajui kabisa ila kama nna washikaji wao wanajua tupo wapi na kama ni magendo hakuna atakayejua zaidi yangu na niliye naye muda huo