M.Rutabo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 1,031
- 2,647
Kama utakuwa shabiki kweli wa mpira na mfatiliaji wa soka la Tanzania na Afrika utakubaliana na mimi kwamba kwa simba ya msimu jana ambayo iliisumbua yanga mechi ya round ya pili ya ligi na matokeo kuwa Yanga 2 na Simba 1 basi kama simba ile ndo ingecheza na wale Warabu wa Libya Simba ile ingeshinda ugenini tena sio kwa goli moja. Pamoja na mapungufu mengine ila kila kikosi kilikuwa bora mara mia ya hiki cha sasa nikikumbuka siku wanamchapa mtu goli sita Kwa mkapa na kutinga atua ya robo fainali ligi ya Mabigwa msimu jana nabaki kushangaa wale wachezaji waliwakosea nn?