Unazungumzia wachezaji walionajisiwa na yanga?Kama utakuwa shabiki kweli wa mpira na mfatiliaji wa soka la Tanzania na Afrika utakubaliana na mimi kwamba kwa simba ya msimu jana ambayo iliisumbua yanga mechi ya round ya pili ya ligi na matokeo kuwa Yanga 2 na Simba 1 basi kama simba ile ndo ingecheza na wale Warabu wa Libya Simba ile ingeshinda ugenini tena sio kwa goli moja. Pamoja na mapungufu mengine ila kila kikosi kilikuwa bora mara mia ya hiki cha sasa nikikumbuka siku wanamchapa mtu goli sita Kwa mkapa na kutinga atua ya robo fainali ligi ya Mabigwa msimu jana nabaki kushangaa wale wachezaji waliwakosea nn?
Yanga ina michezo michafu sana nje ya uwanja.Kwa sasa tayari wameshamrudia Fei Toto na ushawishi wao umeshamwathiri.Ni mambo ya hovyo sana.
Hersi anawasiliana kwa siri na wachezaji hatari wote na anafanikiwa kuwashawishi wacheze chini ya kiwango kwenye mechi anazozichagua
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app