Ni mara mia Simba ya msimu uliopita kuliko Simba ya msimu huu.

Unazungumzia wachezaji walionajisiwa na yanga?
Yanga ina michezo michafu sana nje ya uwanja.Kwa sasa tayari wameshamrudia Fei Toto na ushawishi wao umeshamwathiri.Ni mambo ya hovyo sana.
Hersi anawasiliana kwa siri na wachezaji hatari wote na anafanikiwa kuwashawishi wacheze chini ya kiwango kwenye mechi anazozichagua

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Aisee mwanangu kua uyaone ndo hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…