Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko zigo kweli yamejaaaKama una ndevu za kuzugia na rangi sio kama yao Ile ukienda kule utaishiwa uroto mzabzab Na si unajua mbeya kua na zigo ni ²²/⁷
Hii nimejifunza na sasa naishi nayo.... hata nikiwa na demu mshakaji akimsifia nampa tuu wala siumii tena... acha waliweeeh ndivo walivoUkiwa na time kubwa sana ya kumfuatilia mwanamke hiki ndicho utakachoambulia
Safi sana tukiwaambia mje kwenye vikao vya wanaume mnakimbia kimbia haya sasa utaendelea kuchapiwa mpka ww mwenyewe utachapwa. Ungechukua muda wako kuwajifunza wanawake leo usingekua na ujinga wa kiwango hiki cha sgr.Habari wakuu
Katika maisha yangu nimekua nikiamini mwanamke akiwa na kazi au biashara ya kutoka asubuhi na kurudi jioni kuongea na wateja wa kiume katika biashara basi ni rahisi kuliwa
Na mimi nilivyoumbwa na wivu nikaona bora nijinyakulie mtu asiyekuwa na kazi yani awe mama wa nyumbani nikachukua mtoto mmoja mbichiii wa kizaramo lakini nifupishe story aliliwa palepale nyumbani kwenye kitanda changu nikamtimua.
Nikakaa kama miaka miwili ya usingo baadae nikavuta pisi moja teketeke ya kinyaki ina miaka 22 haina kazi nikawa naiacha nyumbani nikiamini kua ikiwa inajishughulisha wahuni watanichapia
Lakini mpaka naandika uzi huu kwa kifupi nimetoka kufumania
Hiyo ni NATURE. Wanawake wote wako hivyo. Kuoa ni uamuzi tu, siyo lazima, hakuna utakachokosa ukiwa hujaoa, utapata kile kile anachopata aliye kwenye ndoa. Usiumize kichwa na hao Creatures.Habari wakuu
Katika maisha yangu nimekua nikiamini mwanamke akiwa na kazi au biashara ya kutoka asubuhi na kurudi jioni kuongea na wateja wa kiume katika biashara basi ni rahisi kuliwa
Na mimi nilivyoumbwa na wivu nikaona bora nijinyakulie mtu asiyekuwa na kazi yani awe mama wa nyumbani nikachukua mtoto mmoja mbichiii wa kizaramo lakini nifupishe story aliliwa palepale nyumbani kwenye kitanda changu nikamtimua.
Nikakaa kama miaka miwili ya usingo baadae nikavuta pisi moja teketeke ya kinyaki ina miaka 22 haina kazi nikawa naiacha nyumbani nikiamini kua ikiwa inajishughulisha wahuni watanichapia
Lakini mpaka naandika uzi huu kwa kifupi nimetoka kufumania
Anaweza asielewe hili ila lina mantik.Pole Sana...
Achana na kuolea watu ...
Tafuta alie bize mnarudi wote jioni
Sawa unaweza kuunganisha hata 3 lakini zote zikawa ndani ya dk 10 tuHapana mkuu niko vizuri naweza hata kuunganisha bila ya kuitoa
Pole sana mkuu,kuchapiwa kunauma sana.Habari wakuu
Katika maisha yangu nimekua nikiamini mwanamke akiwa na kazi au biashara ya kutoka asubuhi na kurudi jioni kuongea na wateja wa kiume katika biashara basi ni rahisi kuliwa
Na mimi nilivyoumbwa na wivu nikaona bora nijinyakulie mtu asiyekuwa na kazi yani awe mama wa nyumbani nikachukua mtoto mmoja mbichiii wa kizaramo lakini nifupishe story aliliwa palepale nyumbani kwenye kitanda changu nikamtimua.
Nikakaa kama miaka miwili ya usingo baadae nikavuta pisi moja teketeke ya kinyaki ina miaka 22 haina kazi nikawa naiacha nyumbani nikiamini kua ikiwa inajishughulisha wahuni watanichapia
Lakini mpaka naandika uzi huu kwa kifupi nimetoka kufumania
👊Kuchapiwa/kuchepuka ni nature ya mtu. Hadi waliokutwa na bikra wanachepuka 😅
🤣🤣🤣Bill clinton alikuwa ana kazi ya kirun dunia lakini alipata mwanya wakulambwa de liboloz na monica.
Hii kitu tamuuu na raha yake uonje sample tofauti tofauti
Ulichojibu siyo ulichoulizwa. Kuna tofauti kubwa sana kati ya kufika kileleni kwa mwanaume na kufika kileleni kwa mwanamke. Unaweza dhani kumwaga mara nyingi ndo kumfikisha mwanamke, kumbe siyo. Hakikisha amekojoa! Hata kma unaenda round moja. La sivyo hata umwage mara kumi atakuona boya tu.Hapana mkuu niko vizuri naweza hata kuunganisha bila ya kuitoa