Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Ukioa mwanamke mzuri ni sawa na kuweka shamba la miwa karibu na shule ya msingi
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
na ww yajibu pia unapigwa mangapi kwa mda ganiJibu haya maswali nikushauri:-
- shoo huwa unapiga kwa dakika ngapi
- Huwa unaachia magoli mangapi kwa siku
- Ina ukubwa gani, kitendea kazi chako
Ukiona hivyo, umeoa kahaba au umtoshelezi. JitafitiHabari wakuu
Katika maisha yangu nimekua nikiamini mwanamke akiwa na kazi au biashara ya kutoka asubuhi na kurudi jioni kuongea na wateja wa kiume katika biashara basi ni rahisi kuliwa
Na mimi nilivyoumbwa na wivu nikaona bora nijinyakulie mtu asiyekuwa na kazi yani awe mama wa nyumbani nikachukua mtoto mmoja mbichiii wa kizaramo lakini nifupishe story aliliwa palepale nyumbani kwenye kitanda changu nikamtimua.
Nikakaa kama miaka miwili ya usingo baadae nikavuta pisi moja teketeke ya kinyaki ina miaka 22 haina kazi nikawa naiacha nyumbani nikiamini kua ikiwa inajishughulisha wahuni watanichapia
Lakini mpaka naandika uzi huu kwa kifupi nimetoka kufumania