Ni mara ya pili sasa nachapiwa

Umenikumbusha nilipanga kwenye nyumba moja jamaa ana mke mama wa nyumban tu sasa msela akienda kwenye mishe zake alikua anakaa hata siku 3 ndo anarudi muda mwingine mwezi mzima
yule dada mume wake alikua akiondoka alikua na mitego ya kipuuzi sana anaweza akageuza betri za remote alaf anakuja kuniita nikamtengenee recorder yake imeharibika eti channel hazibadiliki

Kwakua mi siyo mtu wa mademu nina staili yangu moja ya maisha na switch off&on mazoea niki switch off hata kunipa salam utaogopa sasa nikaamua ni switch off mazoea akapunguza kuniletea mapichapicha
Ukiwa na mwanamke na namna ile ni hasara sana anakua chakula ya wana
 
Safi sana tukiwaambia mje kwenye vikao vya wanaume mnakimbia kimbia haya sasa utaendelea kuchapiwa mpka ww mwenyewe utachapwa. Ungechukua muda wako kuwajifunza wanawake leo usingekua na ujinga wa kiwango hiki cha sgr.
 
Wanawake sio viumbe wa kuwazingatia sana.. shauri yenu vijana
 
Hiyo ni NATURE. Wanawake wote wako hivyo. Kuoa ni uamuzi tu, siyo lazima, hakuna utakachokosa ukiwa hujaoa, utapata kile kile anachopata aliye kwenye ndoa. Usiumize kichwa na hao Creatures.

Mwanamke yuko loyal kwa hisia zake tu, the moment zikibadilika na yeye anabadilika, hayuko loyal kwa Mwanaume mmoja, hata umridhishe Dunia, akipata hisia kwa Mwanaume mwingine tu atakazwa tu, then kama hujui atajikausha kama siyo yeye, ukijua ndio unakuja hapa unaanza kulia. Wengine tulishasahau kuhusu kuoa, kamata mwanamke umemuelewa akuzalie watoto safi ukuze usomeshe watoto wako safi, unahitaji kula nenda restaurant au ita mtu akupikie akufulie na usafi mwingine, unahitaji sex ipo tu pale nje, huwezi kumiliki mwanamke, hawamilikiki hao, utakufa Bure.
 
Duh waulize shida yako nini, huenda wakasema ukweli...alafu kuliwa kwa mwanamke kawaida, we samehe mvute ndani
 
Pole Sana...
Achana na kuolea watu ...
Tafuta alie bize mnarudi wote jioni
Anaweza asielewe hili ila lina mantik.
Japo sio guarantee ila mwanamke aliyechoka akili kutokana na shughul zaa siku nzima ni ngumu sanankuwazaa sex na hii moaka huleta athar kwenye nyumba..mwanamke aliye busy na shughul sex kwake huwa kipengele sana
 
inatakiwa ukimkamata mgoni wako unamla kalio.wakijua watakuogopa.tatizo umezid upole
 
Pole sana mkuu,kuchapiwa kunauma sana.
 
Umalaya ni Tabia na Sio mazingira,Kama haliwi hata akifanya kazi mwanza wewe upo dar hakuna mtu atasoma gazette.
Mwanamke Malaya dakika 10 nyingi
 
Bill clinton alikuwa ana kazi ya kirun dunia lakini alipata mwanya wakulambwa de liboloz na monica.
Hii kitu tamuuu na raha yake uonje sample tofauti tofauti
🀣🀣🀣
 
Nashauri; kuchapa wake wa wenzako si ushujaa ila kuchapiwa mkeo ni ufalalast
Asante 😳😳😳
 
[emoji1787][emoji1787] etiiii mzaramo atulie
 
Hapana mkuu niko vizuri naweza hata kuunganisha bila ya kuitoa
Ulichojibu siyo ulichoulizwa. Kuna tofauti kubwa sana kati ya kufika kileleni kwa mwanaume na kufika kileleni kwa mwanamke. Unaweza dhani kumwaga mara nyingi ndo kumfikisha mwanamke, kumbe siyo. Hakikisha amekojoa! Hata kma unaenda round moja. La sivyo hata umwage mara kumi atakuona boya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…