Ni marufuku kuingia UK kwa wasafiri kutokea DRC na Tanzania kisa corona

Ni marufuku kuingia UK kwa wasafiri kutokea DRC na Tanzania kisa corona

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hali imeanza kurudi kule kule kwa kufungiana, wasafiri wanaotokea Tz na DR moja kwa moja hawaruhusiwi kuingia UK kisa ugonjwa wa corona.

===

UK bans passengers from Tanzania, Democratic Republic of Congo to control spread of COVID variant​

(Reuters) - Britain is banning all arrivals from Tanzania and Democratic Republic of Congo from Friday to stop the spread of the South Africa COVID-19 variant, transport secretary Grant Shapps said in a tweet on Thursday.

“All passengers from these countries except British & Irish Nationals and third country nationals with residents rights will be denied entry,” Shapps wrote in his tweet.

Hali imeanza kurudi kule kule kwa kufungiana, Watz na Bakongo hawaruhusiwi kuingia UK kisa ugonjwa wa corona.
Jadilini matatizo ya Kenya, yetu hamtayaweza! vipi ukabila umeisha?, umilikishaji kiholela misitu na hifadhi kwa wageni vimeisha? baa la nzige kenya, mmeweza kulidhibiti? mgomo wa madaktari wakidai hali bora ya maisha; mmeshawatatulia shida zao? uharibifu mkubwa wa mazingira kenya unaosababisha kenya kuendelea kuwa jangwa; mmmeweza kudhibiti? WAZUNGU HAWAWEZI KUWAAMBIA HAYA! Endeleeni kushabikia ujinga; sisi twasonga mbele.
 
wakenya hawafi? tatizo mnawasudu sana waingereza kwa umasikini wenu, maana wakiondoka kenya tu mtakula mavi kenge nyie, sisi wapige ban wasipige ban maisha yanasonga!
Wakenya kufa kwa Corona haihalalishi kuwa Watanzania tukifa kwa Corona liwe ni jambo la kawaida na sahihi.
 
Hali imeanza kurudi kule kule kwa kufungiana, Watz na Bakongo hawaruhusiwi kuingia UK kisa ugonjwa wa corona.
Mabeberu wanatuonea wivu kwa sababu tupo Uchumi wa kati
Wakiona midege yetu hewani inawauma sana
Wataumia sana mabeberu maana Kwa sasa Watanzania katika historia tumekuwa na maisha bora kuliko wakati wowote
Shule bure
Huduma za afya bure
Kila raia ana raha katika serikali ya JPM
Kuanzia Wafanyabiashara. Wafanyakazi hata Wakulima maisha ni bam bam
Lazima iwaume
 
Wakenya kufa kwa Corona haihalalishi kuwa Watanzania tukifa kwa Corona liwe ni jambo la kawaida na sahihi.
Ugonjwa haujifichi broo kama tungekuwa na corona sisi na tulivyokua hatuchukui tahadhari yoyote ingejulikana usiseme mambo ya kusadikika ili ujifurahishe..nikuulize labda una ndugu yako amekufa kwa corona, jirani je au mtu wako wa karibu so kama huna usije kutuambia maswala yako ya viongozi ambao hata hujawahi kuona vyeti vyao vya hospitali so shut up kama unataaka corona nenda kunyaland...
 
Hali imeanza kurudi kule kule kwa kufungiana, Watz na Bakongo hawaruhusiwi kuingia UK kisa ugonjwa wa corona.
Mkiona wameanza na sisi basi na nyie mjiandae
 
Ugonjwa haujifichi broo kama tungekuwa na corona sisi na tulivyokua hatuchukui tahadhari yoyote ingejulikana usiseme mambo ya kusadikika ili ujifurahishe..nikuulize labda una ndugu yako amekufa kwa corona, jirani je au mtu wako wa karibu so kama huna usije kutuambia maswala yako ya viongozi ambao hata hujawahi kuona vyeti vyao vya hospitali so shut up kama unataaka corona nenda kunyaland...
Ndiyo,nina ndugu wamekufa kwa Corona
 
bahati mbaya ni bomu limepigwa mortuary[emoji16][emoji16].

ban ikipigwa china ama india hapo tutanyanyua mikono juu.

Si juzi hawa UK mliwapa mgodi, jamaa hawana fadhila hawa.....
 
Back
Top Bottom