Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
AsantePole kwa msiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsantePole kwa msiba
[emoji44] huyo ndugu yako kafa kwa kwa tb unasema corona alipimwa na nani hyo corona au ndo nyinyi madaktari uchwara??Ndiyo,nina ndugu wamekufa kwa Corona
Hawana lolote fitna tu..Si juzi hawa UK mliwapa mgodi, jamaa hawana fadhila hawa.....
Corona is the biggest scam in a history of a mankind Pfizer knows it.
Yaani hata baada ya kujifukizaaa na kunywa tani za malimao na tangawizi, hadi na kikombe cha babu wa Madagascar juu yake, bado ban zinazidi kutembezwa tu? Mabeberu buana! [emoji1]
kwahiyo watu hawajawahi kufa kabla ya covid!!!Tunaendelea na uzalishaji wakati kila siku hapa JF tunasoma habari za misiba ya watu tena watu maarufu sijui Bregedia,sijui mbunge,sijui nani achilia mbali wanyonge ambao hawatangazwi!
sasa kama wengine wanakufa point ya kukataa watz wasife unaitoa wapi!!!Wakenya kufa kwa Corona haihalalishi kuwa Watanzania tukifa kwa Corona liwe ni jambo la kawaida na sahihi.
hao ni ndugu hawawezi wapiga ban[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Mkiona wameanza na sisi basi na nyie mjiandae
Kwenu wamekufa wangapi na corona tuanzie hapi kwana.Hata kama walikuwa wanakufa kabla ya Corona hilo haliwezi kuhalalisha vifo vyao vya Corona kuwa vifo halali!
hata baada ya kupima bado corona inawafack bila huruma[emoji28][emoji28][emoji28]Yaani hata baada ya kujifukizaaa na kunywa tani za malimao na tangawizi, hadi na kikombe cha babu wa Madagascar juu yake, bado ban zinazidi kutembezwa tu? Mabeberu buana! [emoji1]
Kwani watu kufa kabla ya Corona inathibitisha kuwa watakaokufa baada ya Corona vifo vyao vitakuwa havijatokana na Corona?kwahiyo watu hawajawahi kufa kabla ya covid!!!
au sio utaratibu wetu kutangaza vifo vya watu maarufu mpaka covid ilipokuja???
Wapi nimekataa watz wasife?Mimi napinga madai ya kwamba TZ hawafi kwa Corona.sasa kama wengine wanakufa point ya kukataa watz wasife unaitoa wapi!!!
na kama si halali na watz kufa wakifa wengine kwanini ukiambiwa hawafi kwa corona unakataa pia[emoji38][emoji38][emoji38].
WanneKwenu wamekufa wangapi na corona tuanzie hapi kwana.
Alipimwa na kufia hospitali ya Aghakhani.[emoji44] huyo ndugu yako kafa kwa kwa tb unasema corona alipimwa na nani hyo corona au ndo nyinyi madaktari uchwara??
To set the record straight :
UK haijazuia "watanzania" au "wakongo" kuingia chini mwao. Wamezuia WAGENI wanaotoka au waliopitia Tanzania na DRC ndani ya siku 10 kabla ya tarehe 22 Januari 2021. Raia wao na Raia wenye haki za makazi UK wataruhusiwa ila kwa masharti ya kujitenga kwa siku 10. Hivyo hata kama ni raia wa nchi nyingine - hata mkenya - unaishi Tanzania/DRC, au kama umepitia Tanzania/DRC, na haukidhi vigezo vya uraia na haki za makazi, hautaruhusiwa kuingia.
.
Kama ni mtanzania au mkongo ila haukuwa Tanzania/DRC katika kipindi hicho, bado utaruhusiwa kuingia kwa masharti.
ndio wanakufa kwa corona.unasemajeWapi nimekataa watz wasife?Mimi napinga madai ya kwamba TZ hawafi kwa Corona.
Unajicontradict mwenyewe!ndio wanakufa kwa corona.unasemaje