Ni marufuku kuingia UK kwa wasafiri kutokea DRC na Tanzania kisa corona

Na juzi tu hao UK wamepewa mgodi wote mazima mazima wajichumie....
vipi mmeweza kuzuia nzige? fanyeni ya kwenu! lazima mtazunguka na bakuli kuomba chakula mwaka huu sisi tunachapa kazi wole wenu majirani wa roho mbaya na majungu
 
Umekurupuka kujibu kabla haujasoma, maana nimeandika "wasafiri kutokea Tanzania", hiyo ina maana kwa yeyote ambaye amekanyaga Tanzania haruhusiwi kuingia UK, hata awe Mkenya ilmradi kapitia huko Tz, labda tu awe raia wao. Lakini hamna sehemu imesema Watanzania wamekatazwa, leo hii wale wakimbizi wenu wa kisiasa akina Tundu Lissue wakienda UK watakaribishwa maana hawatakua wametokea Tz moja kwa moja.
Naomba usome sentensi yako ya kwanza kwenye post yako, na kisha urudi kwenye post yangu uliyoijibu. Kukusaidia, nimekuwekea hapa.

Unachosema kwenye jibu lako kwangu, ni kurudia nilichokujibu. Kwa ufupi, sijakurupuka.
 
Attachments

  • Screenshot_20210122_081129.jpg
    Screenshot_20210122_081129.jpg
    56.2 KB · Views: 1
Unajicontradict mwenyewe!
Mara TZ Corona iliondolewa kwa jina la Yesu kupitia maombi ya siku tatu,mara watz tunakufa kwa Corona!Unapaswa kuwa consistent katika arguments zako,tofauti na hapo unakuwa unapotezea watu unaojenga nao hoja muda wao.
ukiambiwa haipo hutaki,ukiambiwa ipo hutaki!!!

kwanini tukiwaambia hamjitambui mnarusha mateke!!!
sisi wengine msimamo wetu na serikali tokea mwanzo ni kuishi na corona kama ugonjwa mwingine,tuishi kwa tahadhali na kujifukiza.nyinyi nguruwe pori mkaibuka na hoja kwamba tumekata tamaa tunatakiwa kupima tu na kupima sana kisha tutangaze tumepata wagonjwa wangapi,sijui wa nini wakati dawa hakuna.

kwahiyo babu yako kufariki kwa corona sio kosa lake wala kosa la serikali maana ugonjwa upo,sasa ni juu yako kuendelea kulia lia ama kuchukua kujikinga.
 
Siyo kweli kwamba msimamo wa serekali ya Tanzania ni kuishi na Corona kama magonjwa mengine.Magufuli aliutangazia umma na ulimwengu kwa ujumla kuwa Tanzania hakuna Corona kwa sababu iliondolewa kwa maombi ya siku tatu!Wewe hapa unaongea kitu ambacho hakipo.Hata alipokuja yule waziri wa China Magufuli aliendelea kusisitiza kuwa Tanzania haina Corona.Haya unayoyaongea wewe umeyatoa wapi?Umechanganyikiwa?!Unadanganya.Unazidi kijicontradict!
 
Naomba usome sentensi yako ya kwanza kwenye post yako, na kisha urudi kwenye post yangu uliyoijibu. Kukusaidia, nimekuwekea hapa.

Unachosema kwenye jibu lako kwangu, ni kurudia nilichokujibu. Kwa ufupi, sijakurupuka.

Uko sahihi, nakiri sentensi yangu hiyo ina makosa, unaonekana mtu mwenye akili na weledi itakua sikutendei haki nikikujumuisha ndani ya kundi la hawa makajamba ambao huwa najishusha ili nikimbizane nao humu, nimerekebisha.....
 
Siyo kweli kwamba msimamo wa serekali ya Tanzania ni kuishi na Corona kama magonjwa mengine.Magufuli aliutangazia umma na ulimwengu kwa ujumla kuwa Tanzania hakuna Corona kwa sababu iliondolewa kwa maombi ya siku tatu!Wewe hapa unaongea kitu ambacho hakipo.Hata alipokuja yule waziri wa China Magufuli aliendelea kusisitiza kuwa Tanzania haina Corona.Haya unayoyaongea wewe umeyatoa wapi?Umechanganyikiwa?!Unadanganya.Unazidi kijicontradict!
usiwe mjinga.
kauli za tz hakuna corona zimetolewa juzi juzi hapa baada ya ugonjwa kuanza kupuuzwa dunia nzima,hasa kwa kuruhusu biashara na kuachana na lockdown.

mimi nikikwambia corona haipo tz,wewe unasema ipo,sababu babu yako amefariki na corona,nikikwambia ipo sababu wewe umesema unanimbia sina msimamo.

hizi akili za wapi!!!!!
 
Nakushukuru kwa uungwana.
 
Yaani hata baada ya kujifukizaaa na kunywa tani za malimao na tangawizi, hadi na kikombe cha babu wa Madagascar juu yake, bado ban zinazidi kutembezwa tu? Mabeberu buana! [emoji1]
Ban inaanzia Tz na nchi zote za Sadc hadi SA.
 
[emoji1787] [emoji1787]
Ugonjwa ugundulike SA afu unawafungia Watanzania huu ni usanii wa kiwango cha lami.
SA wameiacha na majilani zao then wanafungua waTZ
Wonders will never end
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my H3223 using JamiiForums mobile app
SA, Namibia, Zim, Angola, Moz, Zambia zote zimepigwa ban.
 
usiwe mjinga.
kauli za tz hakuna corona zimetolewa juzi juzi hapa baada ya ugonjwa kuanza kupuuzwa dunia nzima,hasa kwa kuruhusu biashara na kuachana na lockdown.

mimi nikikwambia corona haipo tz,wewe unasema ipo,sababu babu yako amefariki na corona,nikikwambia ipo sababu wewe umesema unanimbia sina msimamo.

hizi akili za wapi!!!!!
June 2020 ni juzijuzi?

987654321.jpg
 
Na juzi tu hao UK wamepewa mgodi wote mazima mazima wajichumie....
Kuna Mkenya mmoja Daktari mwenye akili alisema idadi ya vifo 2019 Kenya ni Kubwa Kuliko 2020.
Mngekuwa na akili mngeanzia hapa kufikiria, but maadam tayari Covid -19 ni mradi wa kina Uhuru kujikwapulia mabilioni ya mikopo basi inabidi muendelee kuishi kama Mang'ombe. The Tepublic of Kenyatta
 
Siyo kweli kwamba msimamo wa serekali ya Tanzania ni kuishi na Corona kama magonjwa mengine.Magufuli aliutangazia umma na ulimwengu kwa ujumla kuwa Tanzania hakuna Corona kwa sababu iliondolewa kwa maombi ya siku tatu!Wewe hapa unaongea kitu ambacho hakipo.Hata alipokuja yule waziri wa China Magufuli aliendelea kusisitiza kuwa Tanzania haina Corona.Haya unayoyaongea wewe umeyatoa wapi?Umechanganyikiwa?!Unadanganya.Unazidi kijicontradict!
Ndio sasa unaambiwa ugonjwa upo, ishi nao na uchukue tahadhari, mbona unakuwa kama mwendawazimu.
 
Mwendawazimu ni yule kibaka wa wizi wa kura ambae hana kibali cha wananchi anaedanganya umma na ulimwengu kwa ujumla kuwa Corona Tanzania iliondolewa kwa maombi ya siku tatu kwa hiyo hakuna haja ya kuchukua tahadhari!
 
Heheh, una wazimu wewe, sasa kura zimefikaje hapa?
 
Na sie tupige Marufuku waingereza na ndege zao kuja Tanzania.. Mbona Kenya walivyofanya ivo tuliweza...
 
Kuna Mkenya mmoja Daktari mwenye akili alisema idadi ya vifo 2019 Kenya ni Kubwa Kuliko 2020.
Mngekuwa na akili mngeanzia hapa kufikiria, but maadam tayari Covid -19 ni mradi wa kina Uhuru kujikwapulia mabilioni ya mikopo basi inabidi muendelee kuishi kama Mang'ombe. The Tepublic of Kenyatta

Idadi ya vifo ipo juu maana sio kila mmoja anapimwa, kuna wanaokufia mitaani, kwa kifupi kwa kila anayepimwa haifichwi maana Kenya haijajichokea kama nyie huko.
Sema Corona imesabaisha nimechukia mfumo wa ujamaa kishenzi, yaani nchi yote mumeshikiliwa akili hadi wataalam wote chali, vyombo vya habari wote lao moja, hovyoo sana kwa kweli. Eti rais leo akisema hakuna UKIMWI basi imetosha, wote mnamwagika kama mazezeta na kujiaminisha kwa kufuata kauli za rais.
 
jadilini matatizo ya kenya, yetu hamtayaweza! vipi ukabila umeisha?, umilikishaji kiholela misitu na hifadhi kwa wageni vimeisha? baa la nzige kenya, mmeweza kulidhibiti? mgomo wa madaktari wakidai hali bora ya maisha; mmeshawatatulia shida zao? uharibifu mkubwa wa mazingira kenya unaosababisha kenya kuendelea kuwa jangwa; mmmeweza kudhibiti? WAZUNGU HAWAWEZI KUWAAMBIA HAYA! Endeleeni kushabikia ujinga; sisi twasonga mbele.

Na sasa wanasiasa wao wako bizzy na kutengeneza makundi ya uhalifu, kama maandalizi ya uchaguzi ujao.
🤣😂🤣
 
Wakenya kufa kwa Corona haihalalishi kuwa Watanzania tukifa kwa Corona liwe ni jambo la kawaida na sahihi.

Mjinga tu kama wewe ndiye unayeamini kuwa korona haiwezi kuja Tanzania. Hata Rais alisema, pengine huu ugonjwa ndiyo umepiga hodi kama ukimwi. Tuuzoee na kujitahidi kuchukua tahadhari.
 
zaidi ya 70% ya watanzania hawana pasport hivyo hata burn ikiwekwa zambia haitawakwaza sana na huwa hawasafiri.
 
Back
Top Bottom