Ni marufuku kuingia UK kwa wasafiri kutokea DRC na Tanzania kisa corona

Ni marufuku kuingia UK kwa wasafiri kutokea DRC na Tanzania kisa corona

Mjinga tu kama wewe ndiye unayeamini kuwa korona haiwezi kuja Tanzania. Hata Rais alisema, pengine huu ugonjwa ndiyo umepiga hodi kama ukimwi. Tuuzoee na kujitahidi kuchukua tahadhari.
Mjinga ni yule alietangazia umma wa Watanzania na ulimwengu kuwa Corona ilipiga hodi Tanzania ila ikafukuzwa kwa maombi ya siku tatu!

987654321.jpg
 
Wapi nimesema kuwa nina furaha?

Kauli zako zinaonekana waazi kabisa. Ukweli ulio wazi kabisa korona ipo kitambo na itakuwapo kitambo. Kitu cha msingi, ni kuimarisha kinga. Kuchukua tahadhari kadiri inavyoruhusu. Licha ya kuwa tunajikinga, la kufahamu ni kuwa hamna ambaye yuko salama. Hata hao walituwekea vizuizi wana hali mbaya kutuzidi.
 
Unaenda kinyume na Rais wako kuwa Tanzania hakuna Corona?Una wazimu?
 
Unaenda kinyume na Rais wako kuwa Tanzania hakuna Corona?Una wazimu?

Sijaenda tofauti na rais wetu kipenzi. Kama utakumbuka, yeye ndiye aliyekuwa wa kwanza kusema, pengine ugonjwa huu tutakaa nao kwa muda mrefu kama ilivyo kwa magonjwa mengine. Pitia vizuri kumbukumbu.
 
Hao uk nchi nyingine za ulaya zinawazuia kutokana na maambukizi kuzidi nchini kwao sanasana wanatapatapa tu
 
Back
Top Bottom