Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mjinga ni yule alietangazia umma wa Watanzania na ulimwengu kuwa Corona ilipiga hodi Tanzania ila ikafukuzwa kwa maombi ya siku tatu!Mjinga tu kama wewe ndiye unayeamini kuwa korona haiwezi kuja Tanzania. Hata Rais alisema, pengine huu ugonjwa ndiyo umepiga hodi kama ukimwi. Tuuzoee na kujitahidi kuchukua tahadhari.
Mjinga ni yule alietangazia umma wa Watanzania na ulimwengu kuwa Corona ilipiga hodi Tanzania ila ikafukuzwa kwa maombi ya siku tatu!
View attachment 1683276Coronavirus: John Magufuli declares Tanzania free of Covid-19
President John Magufuli says prayers have helped eliminate the deadly virus from the country.www.bbc.com
Okay maana nimeona TZ na DRCSA, Namibia, Zim, Angola, Moz, Zambia zote zimepigwa ban.
Wapi nimesema kuwa nina furaha?Sasa wewe furaha yako ni nini?
Wapi nimesema kuwa nina furaha?
Unaenda kinyume na Rais wako kuwa Tanzania hakuna Corona?Una wazimu?Kauli zako zinaonekana waazi kabisa. Ukweli ulio wazi kabisa korona ipo kitambo na itakuwapo kitambo. Kitu cha msingi, ni kuimarisha kinga. Kuchukua tahadhari kadiri inavyoruhusu. Licha ya kuwa tunajikinga, la kufahamu ni kuwa hamna ambaye yuko salama. Hata hao walituwekea vizuizi wana hali mbaya kutuzidi.
Unaenda kinyume na Rais wako kuwa Tanzania hakuna Corona?Una wazimu?
hilo ni kasuku la ufipa litakuchosha.Heheh, una wazimu wewe, sasa kura zimefikaje hapa?