Ni marufuku mwanaume kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mnayetokea mazingira sawa

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Ni Marufuku mwanaume kuwa na mahusiano na mwanamke mnaeishi mtaa mmoja, mnafanya kazi office moja, mnasoma darasa moja, mnaishi nyumba moja, ni mbaya.

Ni sheria kutoka jandoni hio, hakikisha unarina asali ya mbali, hiyo ya maeneo yako iache watu wa mbali waifate.
 
Hii ya kula vya mbali ni nzuri sana maana kuna siku kitu kikali sana kinaweza kuja maeneo yako na kikakuchanganya sana,ukikitaka inakuwa rahis maana hujachafuka hapo kitaa na hakuna kikwazo
 
Yaani niiache pisi Kali ukiuliza tupo mtaa mmoja. Labda kama ana sura ya baba ataishia kuwa wifi wa mke wangu
 
Ni Marufuku mwanaume kuwa na mahusiano na mwanamke mnaeishi mtaa mmoja, mnafanya kazi office moja, mnasoma darasa moja, mnaishi nyumba moja, ni mbaya.

Ni sheria kutoka jandoni hio, hakikisha unarina asali ya mbali, hiyo ya maeneo yako iache watu wa mbali waifate.
Labda huko kwenu, huku kwetu unaanza na mpangaji mwenzako, muumini mwenzako, asili yenu moja na kuendelea
 
Ni Marufuku mwanaume kuwa na mahusiano na mwanamke mnaeishi mtaa mmoja, mnafanya kazi office moja, mnasoma darasa moja, mnaishi nyumba moja, ni mbaya.

Ni sheria kutoka jandoni hio, hakikisha unarina asali ya mbali, hiyo ya maeneo yako iache watu wa mbali waifate.
Ni sahihi.
Ya karibu inakupotezea heshima sababu ya kujuana sana.
 
HUU NI UONGO
Kuwa na mahusiano na mtu unaemjua ni nzuri, hakuna kuigiziana
 
Back
Top Bottom