Ishini nao kwa akiliImeandikwa mathayo ngapi?
Hili sawa limeandikwaIshini nao kwa akili
Labda huko kwenu, huku kwetu unaanza na mpangaji mwenzako, muumini mwenzako, asili yenu moja na kuendeleaNi Marufuku mwanaume kuwa na mahusiano na mwanamke mnaeishi mtaa mmoja, mnafanya kazi office moja, mnasoma darasa moja, mnaishi nyumba moja, ni mbaya.
Ni sheria kutoka jandoni hio, hakikisha unarina asali ya mbali, hiyo ya maeneo yako iache watu wa mbali waifate.
Ni sahihi.Ni Marufuku mwanaume kuwa na mahusiano na mwanamke mnaeishi mtaa mmoja, mnafanya kazi office moja, mnasoma darasa moja, mnaishi nyumba moja, ni mbaya.
Ni sheria kutoka jandoni hio, hakikisha unarina asali ya mbali, hiyo ya maeneo yako iache watu wa mbali waifate.
Ni sahihi na inaongeza heshima
Kivipi mahusiano yanavunja HeshimaNi sahihi.
Ya karibu inakupotezea heshima sababu ya kujuana sana.
Kabeeeeeesa!