Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Unataka kusema hii mashine ni ya 1.5m? hebu fanya hesabu zako vizuri maana hata bila utaalamu wa juu hiyo lazima uwe na kuanzia 7m.
Okay mkuu kuna mashine niliiona Alibaba inauzwa 1.5 m ila ni manual nimeitafuta tena sijaipata, hiyo niliyoweka ni sample tu wala sio halisia. Samahani sana kama imewa mislead watu wengine nitaiondoa.

Ila nimekuta hii muda huu 👇

IMG_20220525_090511.jpg
 
Nilitaka machine ya kupack nafaka kama mchele n.k....kipindi cha Uncle, mambo yalikuwa magumu sana..nilipigiwa hesabu kali sana nikakimbia, lakini kipindi hiki mambo yatakuwa fresh...bora ukafanya mipango yako kipindi hiki.
Okay nimekusoma, hiyo mashine ya kupack nafaka ni game changer kabisa kiwanda hicho mkuu 🙌
 
Back
Top Bottom