Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Mm ni fundi ujenzi nachukua tenda za serikali na mtaani pia ila kazi za ujenzi ni ngumu sana na kutoboa ni hadi uwe na akili sana sasa mimi nikipata lezer level,nitaboresha kazi yangu pia nataka kuacha kazi hii nikipata power tiller hata used nauhakika kutoboa maana kilimo ndio nyumbani niboreshe mradi wangu wa kilimobiashara
 
Lezer level inafanya kazi zipi?
 
Back
Top Bottom