Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Canon 2520iCanon ipi ni bora zaidi kwa ajili ya kazi???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Canon 2520iCanon ipi ni bora zaidi kwa ajili ya kazi???
vipi mkuu ulilibeba hili jambo ?Kwa wazo hili, nalichukua na ninaenda kujadili na binti yangu ili nione kama anaweza akafanya lolote ili nimuwezeshe
And she's doing great too...😊vipi mkuu ulilibeba hili jambo ?
Hii ni printing machine bila shaka. Bei yake ipoje kwa sasa?Canon 2520i
Photocopy mashine 1.9 mHii ni printing machine bila shaka. Bei yake ipoje kwa sasa?
insha'Allah mwaka huu hauishi utaipata.Photocopy mashine 1.9 m
Umeongea pointi kubwa sanaHuwa tunawaambia hawa walamba asali hawana nia na watu huwa awaelewi. Unatoza vipi kodi kitu kinachochoea uzalishaji na kutoa ajira. Mitambo, machine na magari ya biashara yangeingia free kama wangekuwa na akili, kitambo Sana tatizo la ajira lingekuwa historia.
Amen 🤲insha'Allah mwaka huu hauishi utaipata.
15 milioni nakuletea ulipo.Mashine ya kupimia pump na injector za gari
kaongee na dotcom machinery wapo kisutu na india street. wanaweza kukusaidia ukafanya installment.nikipata air compresor za kwenye migodi na trector.... fresh kabsa
Hii NI mpya au used na wwe upo mahali gani
hii mpya boss nipo dar. inachukua week 6 kufika, malipo ofisini.Hii NI mpya au used na wwe upo mahali gani
Anuani yako tafadhalihii mpya boss nipo dar. inachukua week 6 kufika, malipo ofisini.
Habari mkuu hii huwa inatumika kupima injectors pump au siyo?