Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Nikipata hii Howo na hiyo flatbed trailer springs leaf double tyre nahama ARUSHA nakuja Dar esalaam
Screenshot_2023-03-29-13-12-25-886_com.whatsapp.jpg
Screenshot_2023-04-04-22-03-35-950_com.android.chrome.jpg
 
Kila mtu ana ndoto ya kuwa na mradi mkubwa wa biashara.

Lakini lazima tukubali ili ufike sehemu lazima uanzie somewhere.

Kwa wajasiriamali wengi huwa tunatamani ukipata mashine au kifaa fulani basi itakufungulia milango na kukusogeza sehemu kuzifikia ndogo zako.

Mimi moja ya mashine nayotamani kuimiliki ni ya kutengeneza bahasha au vifungashio vya karatasi.

Naamini soko lake sio la kutafuta na ukishaipata mashine production yake haiitaji nguvu kazi kubwa.

Mimi nikiipata hii mashine wateja wangu watakuwa corporate nitakuwa natengeneza bahasha za barua size kubwa mpaka ndogo kabisa na nikipata tenda nitakuwa naweka na logo ya kampuni husika.

Wateja wengine ni wafanyabiashara wadogo kwa ajili ya vifungashio.

Sijajua bongo kama zinatengenezwa ila nimeshahangaika sijazipata ila ukiangiza China zinaanzia bei mil 1.5 kwa ambazo sio express wala auto.

Tutajie mashine yako unayoitamani...

View attachment 2237802
Mashine ya kusaga mawe na kuwa kokoto(crasher)
 
Back
Top Bottom