Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
Wote mnaohitaji mashine za bei chini ya milioni moja,wailiana nami kwa 0713 039 875
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfumo gani huo ndugu?Si lazima utumie pump upo mfumo wa kusukuma maji bila pump kupunguza gharama za umwagiliaji
Ni pmNikipata mashine ya kukoboa na kusaga nitakuwa mtu mwingine kabisa. Sijajua nahitaji bajeti ya kiasi gani kuweza kuwa nayo
Zana za kilimo nasikia kodi sio kubwaBongo miyeyusho, kuna mashine za kulimia, kule inauzwa haizidi milioni 2, ila mpaka kuifikisha hapa bongoland inagonga milioni 10 huko.
Ipo mkuu wacheki 0763542515Hio mashine haipo duniani
Unaipata mkuu wacheki 0763542515Mashine ya kukausha dagaa nikiipeleka visiwani nitapiga hela
Mashine ya kusaga mawe na kuwa kokoto(crasher)Kila mtu ana ndoto ya kuwa na mradi mkubwa wa biashara.
Lakini lazima tukubali ili ufike sehemu lazima uanzie somewhere.
Kwa wajasiriamali wengi huwa tunatamani ukipata mashine au kifaa fulani basi itakufungulia milango na kukusogeza sehemu kuzifikia ndogo zako.
Mimi moja ya mashine nayotamani kuimiliki ni ya kutengeneza bahasha au vifungashio vya karatasi.
Naamini soko lake sio la kutafuta na ukishaipata mashine production yake haiitaji nguvu kazi kubwa.
Mimi nikiipata hii mashine wateja wangu watakuwa corporate nitakuwa natengeneza bahasha za barua size kubwa mpaka ndogo kabisa na nikipata tenda nitakuwa naweka na logo ya kampuni husika.
Wateja wengine ni wafanyabiashara wadogo kwa ajili ya vifungashio.
Sijajua bongo kama zinatengenezwa ila nimeshahangaika sijazipata ila ukiangiza China zinaanzia bei mil 1.5 kwa ambazo sio express wala auto.
Tutajie mashine yako unayoitamani...
View attachment 2237802
Hii ndo yenyeweMashine ya kutengeneza pesa
Canon ipi ni bora zaidi kwa ajili ya kazi???Canon