Ni mashine gani hapa mjini ukiwa nayo unaweza kujipatia 50000/-isiyo na presha kwa siku?

Ni mashine gani hapa mjini ukiwa nayo unaweza kujipatia 50000/-isiyo na presha kwa siku?

Ukiinunua inakuwa kuna nisaini Kibao wamekuwakea. Ukihitaji za aina yako ama uwe na dizaina wako au watumie picha na vipimo wakupe file lake uipe mashine ufanye kazi.
Chuo kikuu cha dar pale injiniaring wanayo wanakula hela kulaini sana
Sh ngapi hii mashine?
 
images.jpg

Kuna huyu hapa mnyama kwa wanaoishi sehemu zenye misitu za asili au zile za kupandwa na watu,gharama ya kuiunda haizidi 3.5 mil

Ina uwezo wa kuchana mbao 300-400 kwa siku na kila mbao ni Tsh 1000-2000

Wewe mmiliki unagawana pesa pasu kwa pasu na operator watatu wa hyo mashine,kama wamepasua mbao 300 kwa siku ina maana mtakuwa mmeingiza 300,000 ukiigawa kwa nusu ina maana mmiliki unaondoka na 150,000 ukitoa gharama za mafuta ambazo hazizidi lita 10 kwa siku ambayo inaweza kuwa 33,000
 
Nina infos hata crusher ya mawe imafedha kweli migodini hasa wachimba dhahabu, tatizo kulitenheneza mpaka upate diff la tractor! Lakini kwa infos hugharimu 15mil,huwa kwa infos za juu juu halikosi 200,000/-p/day!
Sahihi.. mimi ninalo ila inategemeana na sehem. Kama uzalishaji wa mawe upo unapiga hela mno..ila kwa eneo lilipo sahiz uzalishaji umeshuka kwa siku unaweza kupata 30,000/=
 
1. Compressor kwa ajili ya mafundi rangi....20,000 hadi 30,000 per day.
2. Heavy drilling machine 20,000 per day.
3. Grinding machine 20,000 per day.
4. Welding machine 30,000 per day
5. Compactor 50,000-80,000 per day.
6. Mixer 80,000 -100,000 per day.
7. Machine ya kuchaji battery za magari 2,000 per battery.
1. Compressor
25l ni 350,000
50l ni 450,000
200 ni 1,400,00 ukitaka 2 in 1 1,850,00
2, drill zipo za kampuni nyingi sana kuanzia 150,000 hadi 250,000 ila kwa kuwa umezungumzia heavy drilling hapo utazikuta Rotary hammer zinaanzia 250,000 hadi 500,000, pia bench drills zinaanzia 500,000 , pia utazikuta Pneumatic Rock drills na jack hammers zinaanzia 750,000 pia Magnetic heavy drill zinaanzia 1,300,000
3,grinding machines
Hapa kuna makumpuni mbalimbali kuna De walt zinaanzia 420,000 , kuna makita, bosch na total zinaanzia 380,000 , pia ideal, edon na dong cheng zinaanzia 320,000 hizo zote ni inch 9
Pia zipo inch 5 na 7
4, welding machines zipo series tofauti
Kuna ARC series zinaanzia 300,000
MMA zinaanzia 350,000
TIG series hizi za kuchomea aluminium zinaanzia 850,000
Kuna TB series zinaanzi 250,000
Mini series zinaanzia 250,000
Expert mig zinaanzia 850,000
Super arc pia zinaanzia 1.5 M hizi ni heavy duty
5, plate compactor zinaanzia 1,300,000 everest

6,concrete mixer liter 400 ni 7.5 m
Lita 500 ni 8M
7.battery charger zinaanzia 600,000

Mashine ni nyingi sana sitazimaliza kwa kutype , kama mtu angependa kupata ufafanuzi au kununua kati ya hizo au nyingine anicheck whatsapp au hewani 0684670925
 
Mkuu,
Asante kwa kutoa ufafanuzi mzuri. Nadhani mtu akitaka kuwekeza kwenye construction machinery atapata mwanga kupitia wewe.
 
Pitieni na hapa kuangalia baadhi ya mashine nyingine ambazo nimezielezea

Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania
 
Imekaa vizuri, tena ukiweza unaanza kuwekeza kwenye House finishing and decorations, fungua kampuni yako utayapata maokoto ya kutosha tu. Nyie wanawake mnakuwa na touches ambazo wanaume wengi hatuna.
on progress, kwa sasa najifunza stencils yaani wall stencil,furniture stencil na craft stencil naona ina soko sana watu wanapenda urembo wa nyumba hawajengi kizamani
 
Back
Top Bottom