Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Siku yako ya kufa..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
kama kuku ndo alitangulia kwa mujibu wa hiyo sayansi,alijiletaje bila kutokea kwenye yai kwanza?

Maswali mengine yanamajibu.. Sema wewe ulichelewa au mpaka sasa hivi hujajua majibu..
 
Hitler alikufaje?

Mkuu,Hitler alikufa Brazil.South America kulikuwa na Nazi sympathizers wengi sana.

Vigogo wengi wa Nazi walitorokea Argentina,Brazil kwa kutumia Odessa network run by the Vatican.

Hitler alioa mwanamke mwingine mwenye asili ya kiafrika ili kupoteza suspicions za racist ideology yake

Alifanyiwa plastic surgery na kubadilika kabisa. Hail Hitler !! lol...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…