Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Ni idadi gani ya matonge ya ugali unayoshiba? Ushawahi kuhesabu idadi ya matonge unayokula na kushiba?
 
Mungu aliumba Ulimwengu,Mungu aliumbwa na nani?
 
ngoja mengine aje ajibu gentamycine ndo mambo yake hayo.
 
1.kwa nini kuna w2 wa rangi tofauti?.wausi na weupe a.k.a wazungu afu wao ni weng duniani kuliko weusi.

2.kama dunia isingekuwepo kungekuwepo nn?

3.adam na hawa,walimuzaa kaini na abel.baada ya kaini kutenda kosa dhidi ya nduguye alifukuzwa.2naambiwa badaye alipata uzao wake. JE HUKO ALIZAA NA NANI?


sio cain na abel pekee, walizaa pia watoto wengne
Biblia haijaandka watot wa kike
 
"Kukubali" ni nini?
Unajua maana yake?

Kuhangaika ni nini?
Unajua maana yake?

Complicationa ndio nini?

Kwanini isiwepo?

Unajua Mungu ni nini?

Sio bure,wewe utakuwa ni Dr Mihanjo wa Philosophy Unit
 
1.Ni kiungo kipi kina akili katika mwili wa binadamu?
2.ni kiungo gani kinatoa hilo jibu kuwa kiungo fulani kina akili zaidi?
3....
 
Tunda la katikati ndiyo tunda gani? Je bado linauzwa sokoni mpaka leo?
 
Kwanini pua imeumbwa kuelekea chini na sio kuelekea juu?
 
Ukiulizwa na mtu aliepo mbele yako anakutazama "we mwanamke au mwanaume"?
 
Back
Top Bottom