Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

3.adam na hawa,walimuzaa kaini na abel.baada ya kaini kutenda kosa dhidi ya nduguye alifukuzwa.2naambiwa badaye alipata uzao wake. JE HUKO ALIZAA NA NANI?
Hawa akina Adam na Hawa, inaelekea, ni waanzilishi tu wa ukoo Fulani!
Kama Ushahidi, waanzilishi wa ukoo wa wakikuyu ni Gikuyu na Mumbi!
Kuhusu wengine, Fanya utafiti!
 
... I CHOOSE NOT TO PLACE MY BOUNDARIES AT THE OBSERVABLE UNIVERSE!
&
... QUANTUM PHYSICS DOESN'T DETERMINE THE LIMIT OF SCIENTIFIC THOUGHT AND THEREFORE WE'RE LEFT WITH 'PURE MATH.'!
🤣
NB: VACUUM IS JUST ZERO MATTER AND NOT ZERO SPACE!
 
Naona umeamua kuja na majibu ya AI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…