Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Screenshot_20241126-210308.png
 
1. Who wrote the Bible
2. Who wrote the Quran
3. Who made up words
4. Who made up numbers
 
Hivi wale watu waliyokuwa wanafufuliwa na Yesu walikuwa wanaeleza maisha baada ya kifo yapoje au hawakuwa na kumbukumbu?
 
1.kwa nini kuna w2 wa rangi tofauti?.wausi na weupe a.k.a wazungu afu wao ni weng duniani kuliko weusi.

2.kama dunia isingekuwepo kungekuwepo nn?

3.adam na hawa,walimuzaa kaini na abel.baada ya kaini kutenda kosa dhidi ya nduguye alifukuzwa.2naambiwa badaye alipata uzao wake. JE HUKO ALIZAA NA NANI?
Zamani, ktk kumbukimbu za historia walikuw Wana andikwa tu uzawa wa kiume hivyo inasadikika Adam alizaa Wana wakike ambao wali kuja kuoana na kaka zao wakaendeleza uzao chini ya just🙏🙏
 
Back
Top Bottom