kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Chanzo cha ulimwengu ni nini? Achana na "big bang theory "
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na chanzo cha Chanzo cha ulimwengu ni nini?Chanzo cha ulimwengu ni nini? Achana na "big bang theory "
Kuku, baada ya kuumbwaKuku na Yai kipi kilianza ?
Aah wapi, aliumbwa na nani?Kuku, baada ya kuumbwa
Na Muumba wa vitu vyote!Aah wapi, aliumbwa na nani?
Nani, Jina?Na Muumba wa vitu vyote!
Mpe wewe jina, au toa wewe jibu kama huridhiki na jibu langu.Nani, Jina?
Sawa mkuu, You win 👏.Mpe wewe jina, au toa wewe jibu kama huridhiki na jibu langu.
Leo 27/11/2024 tunaongozwa na Samia suluhuKwann nilizaliwa tanganyika,kwann naongozwa na kikwete,
Mungu au munguKwahiyo mungu ana baba yake
Bible written by Moses,Paul , King David and so many authors1. Who wrote the Bible
2. Who wrote the Quran
3. Who made up words
4. Who made up numbers
swali jingine,kama Mungu alishampangia mtu maisha yake,kuna haja gani ya kumlaumu mtu ambae hafanyi kazi na hana maendeleo maana ndio maisha yake,au huo ukweli ni uongo?Mfano
1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.?
2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
Bible written by Moses,Paul , King David and so many authors
Kifaranga anatoka kwenye yai, hivyo lazima litangulie yai.Yai na kifaranga kipi kilianza?
Zamani, ktk kumbukimbu za historia walikuw Wana andikwa tu uzawa wa kiume hivyo inasadikika Adam alizaa Wana wakike ambao wali kuja kuoana na kaka zao wakaendeleza uzao chini ya just🙏🙏1.kwa nini kuna w2 wa rangi tofauti?.wausi na weupe a.k.a wazungu afu wao ni weng duniani kuliko weusi.
2.kama dunia isingekuwepo kungekuwepo nn?
3.adam na hawa,walimuzaa kaini na abel.baada ya kaini kutenda kosa dhidi ya nduguye alifukuzwa.2naambiwa badaye alipata uzao wake. JE HUKO ALIZAA NA NANI?