Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
According to flat earth society jua lipo mile 3000...Umbali gan upo kutoka dunian hadi kwenye jua
Vitu kama hivi vinathibitisha kwamba bible na quran zimeandikwa na kuhaririwa na wanaume.Wlizaa na watoto wa kike tena wengi tu ila enzi hizo watoto wa kiume pekee ndo walikuwa wanahesabiwa na kuandikwa kwenye Biblia ni mpaka ulikuwa na history yaani kitu ulichofanya mpaka uandikwe
Itahitaji muda gan kulifikia kwa usafir ganAccording to flat earth society jua lipo mile 3000...
according to scientist jua lipo takribani km milioni 150 na mwanga wake unachukua dakika 8 kufika duniani.
Time = distance / speed ....Itahitaji muda gan kulifikia kwa usafir gan
Sheria ilianza...Sheria na nchi kilianza nini?
Shetani yupo controlledHahahahahahaha, kama alivyomtengeneza shetani akashindwa kumcontrol
Miaka hiyo.. Wanawake walikuwa hawahesabiwi... Hivyo Pengine alizaa na dada ake..1.kwa nini kuna w2 wa rangi tofauti?.wausi na weupe a.k.a wazungu afu wao ni weng duniani kuliko weusi.
2.kama dunia isingekuwepo kungekuwepo nn?
3.adam na hawa,walimuzaa kaini na abel.baada ya kaini kutenda kosa dhidi ya nduguye alifukuzwa.2naambiwa badaye alipata uzao wake. JE HUKO ALIZAA NA NANI?
Hakutakuwa na ukomo.. Na daima haitabadilikaMilele maana yake nini?
Kwenye ulimwengu wa roho [emoji125]mungu alitoka wapi?
Nope... Mwili unaoRoho zina jinsia?
Kukukuku na yai nani mkubwa?
U c the universe..1.Nani ni mmiliki wa logo ya copy right?
2.Ukiwa mwezini ukiangalia juu unaona nini?
Wanawake hawakuhesabiwa katka nyakati hizo.. Kwahiyo lazima tu walikuwepo kwenye uzao.. Lakini hawakutajwaMungu aliwaumba Adamu na Eva ambao wakawazaa Kaini na Abeli.
Mbona watu waliendelea kuzaliana wakati kaini na abel walikuwa wanaume?
Basi ina maana kulikuwa na watu wengine zaidi ya kaini na abeli walokuwepo
Mbona hatujaambiwa watoto wengine?
Ya tatu.. What for MkuuKwanini Mungu aliumba jinsia? kwanini asingeumba ya tatu?
Dhambi imezuiliwa.. Lakini ndani ya kanuni, binadamu ana mwili, roho na nafsi..Mungu aliupenda ulimwengu hadi akamtuma mwanae wa pekee, kama alitupenda sana kwanini hakuzuia dhambi duniani?
Is Jesus really god?
Mungu yupi unayemzungumzia Mkuu...Kwa nini Mungu anakubali watu wateseke na kuhangaika duniani? While he can simply make a new heaven without any complication...
And ye ametokea wapi?
Umri wa kuoa ni upiKwanini barehe huja wakati hujatimiza umri wa kuoa au kuolewa?