Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Halafu humu watu wengi hawaulizi maswali bali wanaweka shubuha.Inabidi watu wajue kuna maswali na kuna shubuha.
 
Miaka hiyo.. Wanawake walikuwa hawahesabiwi... Hivyo Pengine alizaa na dada ake..
Inawezaka pia kain alimkaza mama yake

Biblia nayo kuna vitu vya kuashumu kinoma

Ila bora wanawake wangeendelea tuu kutoesabiwa wanaongoza kusababisha balaa na haki zao sawa
 
Kwanini watoto wadogo hawaoni kero ya harufu mbaya kama tuonavyo sie watu wazima?
 
Kwanini hadithi za watoto mara nyingi zinakuwa zinahusu sana wanyama?
 
Nywele zinaotaje hasa za kule chini zinajuaje kama sasa tuanze kutoa huyu mtu ameshapevuka
 
kwanini wachawi wanaishi kifukara kuliko ufukara wenyewe...???
 
Maswali yote yanajibika ambapo majibu yake yanaweza kuwa sahihi au sio sahihi!.
 
kwa nn tunaishi.......hapa utapata majibu mengi lakin lipi ni sahihi?
 
Back
Top Bottom