Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Mungu aliumba Nuru na kisha akaumba Giza..

Kabla ya hapo kulikuwa na nini?

Roho ya Mungu ilitulia juu ya vilindi vya Maji...mwanzo 1:2...so Giza lilikuwepo then ndo akaumba mwanga
 
How do you tell that a question has no answer as opposed to one which may have an answer that is yet to be known?
what's asked may exist in our imagination but not necessarily in a real world! how do u tell if this only exists in our imagination as opposed to one existing in the treal world?THE NATURE OF THE ANSWER! Not only the answer will be more speculative but itself will leave addition question(s) hard to be answered but necessary to back up the first answer!
 
Masiala tena? Kwan maandiko yanasemaje mkuu kuhusu shetan na mungu?

Mungu ni Wa democracy so hakutaka kuwa dictator kwa Lucifer cause ingeleta great controversy mpaka kwa malaika na viumbe vilivyokuwa upande wake
 
what's asked may exist in our imagination but not necessarily in a real world! how do u tell if this only exists in our imagination as opposed to one existing in the treal world?THE NATURE OF THE ANSWER! Not only the answer will be more speculative but itself will leave addition question(s) hard to be answered but necessary to back up the first answer!

Rather Aristotelian.

Your answer, attacking speculation, is itself speculative.

Moreover, it is possible to have non-speculative answers that will leave more questions. Science is full of convergences like these that are enlightening even as they give us more questions after peeling one layer of the original question.
 
Kwanini unadhani kuna mahali "imeandikwa"?
Kama haijaandikwa?

hilo swali lina sehemu mbili; uoneshe wapi palipoandikwa, na alternatively, nimeomba "source please", yaani chanzo cha hayo madai yako, hivyo kama hakuna maandishi, utuoneshe wapi umepata hayo madai yako ya Yesu, Musa au wamisri weusi.

nadhani nimeeleweka. Taja chanzo cha madai yako ili sisi pia tuone.
 
Roho ya Mungu ilitulia juu ya vilindi vya Maji...mwanzo 1:2...so Giza lilikuwepo then ndo akaumba mwanga
Mungu ana roho? Na kama anayo, hiyo roho ilimuacha ikaja kutulia juu ya vilindi vya maji na yeye akaishije bila roho?
 
hilo swali lina sehemu mbili; uoneshe wapi palipoandikwa, na alternatively, nimeomba "source please", yaani chanzo cha hayo madai yako, hivyo kama hakuna maandishi, utuoneshe wapi umepata hayo madai yako ya Yesu, Musa au wamisri weusi.

nadhani nimeeleweka. Taja chanzo cha madai yako ili sisi pia tuone.

Kwanini unadhani kuna chanzo?
 
Mungu ana roho? Na kama anayo, hiyo roho ilimuacha ikaja kutulia juu ya vilindi vya maji na yeye akaishije bila roho?

Mungu hana roho,ila yeye mwenyewe ni roho....mwanzo Wa uhai Wa kila kitu,unajua binadamu tulipiliziwa nostrils lakini Mungu no spirit
 
The Bible says,a fool has said God does not exist,a fool is merely any person whose vision is poor and likewise
 
Hahahahahahaha, kama alivyomtengeneza shetani akashindwa kumcontrol

Mungu hakumtengeneza SHETANI,ila aliumba MALAIKA ambaye baadaye alikuja kuwa SHETANI IBILISI (yaani MUONGO na MCHONGEZI). Ni sawa tu na WAZAZI wanapozaa, wanazaa MTOTO, sio MWIZI au MALAYA n.k. Na alimwacha SHETANI kwa sababu MUNGU aliwapa viumbe wake wote UHURU wa kuchagua/kuamua. Ikiwa angemuua basi VIUMBE wengine wote wangeamini kwamba madai ya shetani ni ya kweli kwamba Mungu anatuongoza vibaya bali tunaweza kujiongoza wenyewe nakuwa na uwezo kama Mungu (Refer alipomdanganya Hawa na Adamu wafanye kinyume na sheria walizopewa bustanini na wakifanya hvyo WATAKUWA KAMA MUNGU). Na sasa mambo yanayotupata ndo majibu kwa viumbe wengine kwamba MUNGU ametupa UHURU wa kuamua ni njia gani tufuate na tutawajibika kwa maamuzi yetu.
 
jibu nimelipenda limejaa vina japo tuna ongelea source za kibiblia ambazo hazikuwepo hata miaka 1000 iliyopita ilihali kuna mifupa ikifukuliwa mahesabu yake ni mamilioni ya miaka
 
Mungu ni Wa democracy so hakutaka kuwa dictator kwa Lucifer cause ingeleta great controversy mpaka kwa malaika na viumbe vilivyokuwa upande wake

mungu?wa demokrasia?nasikia kuna kipind atawalazimisha watu kwenda kuzimu(imaginary)!,unajua unachokiamini?
 
Jinsi kirusi cha ukimwi HIV virus kinavyoweza kuzalisha DNA tofauti tofauti kutokea kwenye RNA kirahisi kabisa na uzuia kabisa jitihada za kuinasa aina fuani ya protein iliyotumika kutengeneza kirusi fulani
 
Kufumbua sehemu ya mwisho ya fumbo la KRYPTOS lililopo kwenye office za CIA. fumbo hilo liliwekwa na mtaalamu wa sanaa ya mafumbo yanayofumbuliwa kwa njia ya jedwali ambapo fumbo hilo linaongelea hatima ya CAI, Marekani na ulimwengu kwa ujumla ila mpaka sasa sio CIA wala wala nani amefanikiwa kulifumbua. alietunga fumbo hilo hayuko tayari kuona fumbo hilo linateguliwa akiwa hai kulingana na ujumbe uliomo ndani yake. na ingawa anasema ni rahisi kabisa si lazima kulitegua kwa computer unawea kulitegua na kalamu na karatasi tu. kimsingi ni fumbo linaloelezea hatima ya ufalme au nyakati fulani na kuanza kwa mwanzo mwingine.
 
Back
Top Bottom