Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

the lost sheeps in southaafrica?the blurst of colombia spaceshuttlee?the lost scientists?on myside i have seen an UFO oneday one night ,something undefined

Hizo story unaziamini? kama ndio still unaamini kua ni aliens from another planet?? Na wewe kuona UFO, UFO is simply Unidentified flying object, so yea, it can be a flying object, but that doesnt make it from another planet.. unasema ni undefined then endapo ungekijua ni nini ungeona vzr kua its not from a different planet.. Kitu kikija kutoka sayari nyingine tutajua tu..
 
sio mambo ya imani ukiambiwa ni siri unabisha then what?they are undefined because the whole world cant structure that and what it is but can speculate
 
if a tree falls in the middle of a forest and no one is there to hear it. Does it make a sound.
 
Science ina proof kua kuku ndio alitangulia.... na tukifata dini pia bado uumbaji unatetea kuku kutangulia sio yai...
So, obviously ni kuku ndio alitangulia

Mkuu sayansi ya wapi? Main theory ya science ni kwamba things start from simple to complicated or more advance. Kwa mfano theory ya evolution na the universal "blob" (sikumbuki vizuri spelling hapo). Hivyo basi according to science the egg must have come first before the chicken because it is biologically "simpler".
 
Is that science or just a mere belief ?
 
sio mambo ya imani ukiambiwa ni siri unabisha then what?they are undefined because the whole world cant structure that and what it is but can speculate
Sasa naambiwa ni siri lazima nibishe, kwa sababu anayesema mwenyewe hajui kama ni kweli au la, naongea kama mtu ambaye nina experience na kula hela za watu kwenye internet, youtube wenyewe wanalipa vizuri tu ukipata views za kutosha kwenye video yako, hizi mada hua zinalipa sana maana unatunga kitu unapata views za kutosha, hata articles kuandika google ads zinalipa vizuri tu, afu evidence za picha tunaweka kauongo uongo na graphics designing pia inasaidia... hakuna kitu kama aliens wako duniani, not now....
 
Mkuu sayansi ya wapi? Main theory ya science ni kwamba things start from simple to complicated or more advance. Kwa mfano theory ya evolution na the universal "blob" (sikumbuki vizuri spelling hapo). Hivyo basi according to science the egg must have come first before the chicken because it is biologically "simpler".
Kuongelea simplicity na kuangalia theory moja peke yake afu ikawa mwisho evolution haiendi hivo, najua mwanzo wa life kwenye evolution unaanzia kwenye unicellular organisms, inaongelea endosymbiosis, multicellular organism akatokea, sasa ukitoka hapo ukija kwenye proteins ndo wanasayansi wengi walivo-conclude kua yai lilianza, lakini still kama unavojua science ni kitu kinabadilika daily kulingana na evidences mpya, conclusion ya pili ilikuja kutoka kua kuku ndo alitangulia baada ya kuona kua ili yai litengenezwe kuna protein ambayo inapatikana kwenye kuku, bila hiyo protein yai lisingetengenezwa, sasa niambie hapo unadhani kipi kimeanza... then hapo ndo theory mpya zinapoanza..

Si vizuri kusema kulingana na theory flani basi kitu flani kinakua concluded, lazima uangalia kona zote, why this happened, why that, kusema coz the egg is biologically simpler afu umemaliza, nope my friend, doesn't go that way... hiyo hua ni kwa Olevel kuwarahisishia maisha, ila ngazi za juu wanachimba kufuatilia ndani zaidi vitu vinavotendeka na kuja na concrete evidences
 
Sasa naambiwa ni siri lazima nibishe, kwa sababu anayesema mwenyewe hajui kama ni kweli au la, naongea kama mtu ambaye nina experience na kula hela za watu kwenye internet, youtube wenyewe wanalipa vizuri tu ukipata views za kutosha kwenye video yako, hizi mada hua zinalipa sana maana unatunga kitu unapata views za kutosha, hata articles kuandika google ads zinalipa vizuri tu, afu evidence za picha tunaweka kauongo uongo na graphics designing pia inasaidia... hakuna kitu kama aliens wako duniani, not now....

kukataa kwako haimaanishi hawako endelea na utapeli mana unakufaa ONLY WISE UNDERSTAND
 
ungekua wise basi ungeelewa kua nachosema ndo proven unless otherwise ujaribu ku-prove different sio kwa speculations ila kwa real data... Aliens wanaprobability ya kuwepo kwenye sayari zao lakini sio hapa duniani, hapa HAWAPO, HAWAJAJA, HATUJAWAONA, hizo ndizo facts, mengine yote ni speculations za watu kama wewe unasema uliiona UFO wakati hukukiona ukajua kua hii ni alien, mara nyingine hata light inaweza ikakuchezea akili ukaona shape ya a certain object which doesn't exist... Yani laiti ungejua kitu kama flying sauce pan ni idea ya hollywood ilifikiriwa na mwanadamu mwenzako fastafasta usingekaa ukadhani ni aliens wale.. ONLY WISE UNDERSTAND....
 
I saw one afu kingine sijasema wapo duniani
 
kwani wale wanasayansi huwaga wanakwendaga wapi wanaposema kuwa wanatembelea sayari ingine?
Theres no such thing kama kiumbe kuishi Mars, Mars hajapatikana kiumbe hai hata moja, unless definition yako ya viumbe unaongelea vitu kama milima ila sio kisayansi kiumbe hai anakua na sifa kama excretiion, reproduction, DNA etc.. hadi leo hii hajapatikana kiumbe yeyote yule kwenye sayari tofauti na dunia... Waweza kuwepo ndio maana universe ni kubwa mno lakini hatujawapata bado
 
kwani wale wanasayansi huwaga wanakwendaga wapi wanaposema kuwa wanatembelea sayari ingine?
HAKUNA mwanasayansi yeyote yule ambaye alishawahi kufika sayari nyingine, mashine tu ndo tumeweza kuzifikisha sayari nyingine, mfano Mars Rover ambayo ipo Mars inachukua data na kutuma huku, ila binadamu kama binadamu hadi sasa bado hatujawa na technology ya kutufikisha mars salama, hata viumbe wengine pia hatujatuma hata kimoja... hapo katikati kuna vitu kama radiations zinazotoka kwenye jua, mtu anaweza kudhurika akafa... bado vyakula ambavyo vinaweza kukaa miaka na miaka bila kuharibika ni vitu vyote vinafanyiwa research... Na kwenda sayari nyingine si kitu cha kusema wanaenda tu kama unavofikiri, kwenda mars inachukua safari ya miezi sita angani, hiyo ni kwa chombo cha haraka sana...
 
miezi sita tu.mbona kuna vyakula vinakaa supermaket hadi miaka2
 
Umesoma nilipoandika miezi sita ni safari ya kutoka hapa hadi mars?? unadhani wakifika kule kuna mashamba ya kulima??? au unadhani kuna uwezekano wa kurudi?? kwa sasa ni one way trip manake lazima uwe na chakula cha kuwatosha kukaa miaka na miaka, na vyakula wanavyofanyia research ni cooked foods, chakula kilichopikwa kukiweka kikae miaka mingi si kazi ndogo ka unavofikiri... na still wanaangalia chakula kiwe na nutrients nyingi, wakisema waende na kuku waliogandishwa, ng'ombe hakuna nafasi ya kubeba vyote hivo... so it has to be sufficient kwenye nutrients zote ili kubana size ya vitu vinavosafirishwa ili waweze kubeba vingi zaidi... vipo sasa hivi ambavo vinakaa hadi 4 years, lakini vinapoteza ladha ndo maana wanaendelea kufanya research
 
1.kwa nini kuna w2 wa rangi tofauti?.wausi na weupe a.k.a wazungu afu wao ni weng duniani kuliko weusi.

2.kama dunia isingekuwepo kungekuwepo nn?

3.adam na hawa,walimuzaa kaini na abel.baada ya kaini kutenda kosa dhidi ya nduguye alifukuzwa.2naambiwa badaye alipata uzao wake. JE HUKO ALIZAA NA NANI?

Hujui biblia Hakuna aliyefukuzwa ila Alilaaniwa Basi
 
Hata Kama Mkipewa Majibu Yote ya Hayo maswali hakuna Atakaye Amini...

Hata Mungu aje Kuwaambia hamtoamini tu
 
Back
Top Bottom