Ni maswali gani ya kumuuliza Mwanamke ambayo yanaweza kukupa majibu hapa napendwa au natumika?

Mboka man

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
478
Reaction score
1,647
Wakuu katika mahusiano kuna wakati kama mwanaume inabidi ujitafakari katika mahusiano ujue kama unapedwa kweli au unatumikaa ktk hayo mahusiano

Sometime unaweza ukawa unajiuliza hivi hapa napedwa kweli au nalazimisha maana kama mimi niko na mpenzi ila Sijui kama napedwa au nalazimia mfano Kama Mimi nimeshatishiwa kuachwa tiyali kwa kubadilisha namba ya simu nisiipate tena

Kwa wale wenye uzoefu hebu tupeni zile critical questions ukimuuliza mwanamke wako anakupenda au anakutumia
 
Ni ngumu sana kuwasemea hawa viumbe,
Jambo la msingi ukimpata angalau aliyefikia 75% ya vigezo vyako basi huyo mng'ang'anie tu
 
Wakuu katika mahusiano kuna wakati kama mwanaume inabidi ujitafakari katika mahusiano ujue kama unapedwa kweli au unatumikaa ktk hayo mahusiano

Sometime unaweza ukawa unajiuliza hivi hapa napedwa kweli au nalazimisha maana kama mimi niko na mpenzi ila Sijui kama napedwa au nalazimia mfano Kama Mimi nimeshatishiwa kuachwa tiyali kwa kubadilisha namba ya simu nisiipate tena

Kwa wale wenye uzoefu hebu tupeni zile critical questions ukimuuliza mwanamke wako anakupenda au anakutumia
Kupenda kunaendana na vitu viwili ukweli katika maneno yake na matendo yake yenye kujenga mahusiano hivyo ndivyo vigezo muhimu.
 
Angalia graph ya gharama zako kwake halafu angalia Return on Investment.

Je, inakulipa ama ni less or equal to zero 😁😁😁🤭🤭🤭
hahaha dah
kweli cheki graph ya equilibrium point na break even point
au tumia bensaou ( relationship model)

hivi viumbe anajua mungu tu havieleweki kwakwel kama kirusi cha corona
 
Back
Top Bottom