Nimeipenda hii return on investmentAngalia graph ya gharama zako kwake halafu angalia Return on Investment.
Je, inakulipa ama ni less or equal to zero ππππ€π€π€
HahahAngalia graph ya gharama zako kwake halafu angalia Return on Investment.
Je, inakulipa ama ni less or equal to zero ππππ€π€π€
Kupenda kunaendana na vitu viwili ukweli katika maneno yake na matendo yake yenye kujenga mahusiano hivyo ndivyo vigezo muhimu.Wakuu katika mahusiano kuna wakati kama mwanaume inabidi ujitafakari katika mahusiano ujue kama unapedwa kweli au unatumikaa ktk hayo mahusiano
Sometime unaweza ukawa unajiuliza hivi hapa napedwa kweli au nalazimisha maana kama mimi niko na mpenzi ila Sijui kama napedwa au nalazimia mfano Kama Mimi nimeshatishiwa kuachwa tiyali kwa kubadilisha namba ya simu nisiipate tena
Kwa wale wenye uzoefu hebu tupeni zile critical questions ukimuuliza mwanamke wako anakupenda au anakutumia
hahaha dahAngalia graph ya gharama zako kwake halafu angalia Return on Investment.
Je, inakulipa ama ni less or equal to zero ππππ€π€π€