Ni Match gani Ilikukosha kutoka Kwa Team yako ya Ligi kuu ya NBC Mwaka huu 2023?

Mchezaji alienifurahisha ni Kibu kumkanda Diara...
 
Hivi Wakuu Swali limeeleweka lakini? 😂😂

Cc. Swahiba Mgagaa na Upwa
20231105_232510.jpg

Taarifa kwa umma 😂
 
Habari wana Jukwaa La Michezo,
Mwaka 2023 unakata huu,

Tumetoka Mbali ulikua Mwaka wa Matukio Mengii ila Leo Naomba niwaalike wote hapa kukumbushana Ni Mchezo gani Kutoka kwa Team yako pendwa ya Ligi kuu ya NBC hutausahau.

Ulikukosha ukakupa Raha.

Ukafurahi ukaona Maisha ya Bongo ni kama ya Scandinavian countries😁😁

#NOTE MKIUTAJA SANA MCHEZO WA TABULELE NA EDIT UZI WOTE😁
Yaani ile mechi ya 5imba kuthimbwa 5 bado naiangalia kila siku hadi leo kwenye youtube. Naiona kama inachezwa LIVE kila ninapoiangalia..!!
 
Mkuu kiukweli ile mechi haichoshi. 😀
YAANI HAICHOSHI KABISAAAA...!!! TOKA LILE BAO LA KWANZA LA KICHWA HATARI, LILE LA MUSONDA BAADA YA CROSS YA YAO YAO..!!! Yaani hatari...!!

Ukija kwenye bao la pili la Nzengeli si mchezo...!!! Uje sasa kwa master Key na bao la tatu ni hatari kuliko hatari yenyewe..!! Key alipiga matobo wawili beki na kipa wake..!!! Uje tena bao la nne la Nzengeli kwa assist ya Mnzizeeeeee....!!!! Nzengeli alitaka kujibebea mpira wake lakini Inonga akamfyeka na kusababisha penati ambayo Pakome Z alimpeleka MALIKITI MV manula...!!!

Hivi hapa namalizia kukoment naingalia tena upyaaaa, nione kono la nyani..!!!
 
Hahahaaa. Mechi inayozungumzika. 😂😂
 
Back
Top Bottom