Ni Match gani Ilikukosha kutoka Kwa Team yako ya Ligi kuu ya NBC Mwaka huu 2023?

Ni Match gani Ilikukosha kutoka Kwa Team yako ya Ligi kuu ya NBC Mwaka huu 2023?

Mchezo ambao hautsahauriwa na timu zote Yanga na Simba. Kitengo cha habari cha Yanga kilitumia mchezo huu kuwakera sana Simba kwa wiki mbili Simba walikuwa hawatoki ndani kuogopa kero hizo
Nililiona lile bango la video pale Magomeni mapipa..!!! Hatari..!! Yaani walikerwa halafu wakakerwa tena..!!
 
Back
Top Bottom