Ni Match gani Ilikukosha kutoka Kwa Team yako ya Ligi kuu ya NBC Mwaka huu 2023?

Mchezaji alienifurahisha ni Kibu kumkanda Diara...
 
Yaani ile mechi ya 5imba kuthimbwa 5 bado naiangalia kila siku hadi leo kwenye youtube. Naiona kama inachezwa LIVE kila ninapoiangalia..!!
 
Mkuu kiukweli ile mechi haichoshi. πŸ˜€
YAANI HAICHOSHI KABISAAAA...!!! TOKA LILE BAO LA KWANZA LA KICHWA HATARI, LILE LA MUSONDA BAADA YA CROSS YA YAO YAO..!!! Yaani hatari...!!

Ukija kwenye bao la pili la Nzengeli si mchezo...!!! Uje sasa kwa master Key na bao la tatu ni hatari kuliko hatari yenyewe..!! Key alipiga matobo wawili beki na kipa wake..!!! Uje tena bao la nne la Nzengeli kwa assist ya Mnzizeeeeee....!!!! Nzengeli alitaka kujibebea mpira wake lakini Inonga akamfyeka na kusababisha penati ambayo Pakome Z alimpeleka MALIKITI MV manula...!!!

Hivi hapa namalizia kukoment naingalia tena upyaaaa, nione kono la nyani..!!!
 
Hahahaaa. Mechi inayozungumzika. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…