Mchezo ambao hautsahauriwa na timu zote Yanga na Simba. Kitengo cha habari cha Yanga kilitumia mchezo huu kuwakera sana Simba kwa wiki mbili Simba walikuwa hawatoki ndani kuogopa kero hizo