Ni matumaini yangu Ikulu mpya inayoenda Kuzinduliwa hatutasikia nayo ina Hirizi nyingi na Kondoo wengi Wamezikwa

Ni matumaini yangu Ikulu mpya inayoenda Kuzinduliwa hatutasikia nayo ina Hirizi nyingi na Kondoo wengi Wamezikwa

Kuna mtu nasikia alienda huko pemba kwenye mapango gani sijui huko akiutaka Urais! Ila ni mwanamke ijapokuwa yule mganga mwenyewe hakusema yule mtu wa nchi gani! Ila alienda kuomba kuwa Rais kwenye mizimu huko na akakubaliwa na Urais aliupata!
huu ujinga munaolishana mpaka munakera
 
huu ujinga munaolishana mpaka munakera
Sio mimi mzee! Ilikuwa kwenye story book ya wasafi chini ya Prof Jamal! Itafute youtube alipokuwa anaelezea kisiwa cha pemba utaiona akimuhoji huyo muhusika wa ilo pango
 
Kuna Mtu Mmoja aliingia zamu yake ( mwaka nauhifadhi ) na alikuta Hirizi kila mahala huku Kondoo wakiwa Wamefukiwa hadi hawaka anashindwa Kulala ndipo Watu wa Maombi wakaitwa na Kuombea kisha vyote vikatolewa na ikawa salama na aliyekuwa navyo akaondoka navyo vingine Kwake Mikocheni, Masaki na Kawe Beach.

Na ni matumaini yangu makubwa kuwa GENTAMYCINE nikija kuwa Rais na kuishi hapo sitokutana na haya Maupuuzi nikiamini Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan ni Mcha Mungu kama ilivyokuwa kwa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Hayati Magufuli ambao hawakuwa Washirikina na Wapuuzi wa Imani za Kiuchawi Uchawi.

Kila la Kheri Yanga SC huko Bondeni.
Mkuu

KamaBaba wa taifa hakuwa na hayo !!!unajua Mwenge aliutoa wapi!!?

Unajua jpm aliiwezaje corona!!?

Acha nyamaza kabisa mkuu!

Coronation ya prince charz umeiona!!?kuna jiwe walilichukua toka misri HADI leo kwanini!!?
 
Back
Top Bottom