Ni matumaini yangu Ikulu mpya inayoenda Kuzinduliwa hatutasikia nayo ina Hirizi nyingi na Kondoo wengi Wamezikwa

Kuna mtu nasikia alienda huko pemba kwenye mapango gani sijui huko akiutaka Urais! Ila ni mwanamke ijapokuwa yule mganga mwenyewe hakusema yule mtu wa nchi gani! Ila alienda kuomba kuwa Rais kwenye mizimu huko na akakubaliwa na Urais aliupata!
huu ujinga munaolishana mpaka munakera
 
huu ujinga munaolishana mpaka munakera
Sio mimi mzee! Ilikuwa kwenye story book ya wasafi chini ya Prof Jamal! Itafute youtube alipokuwa anaelezea kisiwa cha pemba utaiona akimuhoji huyo muhusika wa ilo pango
 
Mkuu

KamaBaba wa taifa hakuwa na hayo !!!unajua Mwenge aliutoa wapi!!?

Unajua jpm aliiwezaje corona!!?

Acha nyamaza kabisa mkuu!

Coronation ya prince charz umeiona!!?kuna jiwe walilichukua toka misri HADI leo kwanini!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…