Pole sana 😀😃😃 afu Yana penda kuacha alamaMaumivu ya kuumwa tetekuwanga
Jino linauma aisee!JINO
Utatamani utolewe ata na mlinzi tu wa Hospital kikubwa mfanyakazi wa Hospital atoe ata bila ganzi.
JICHO
Liliwahi niuma nikasema hapa unaweza litoa ukaliweka mezani ukasema aya uma sasa.
Acha nimeuguza mtu wa namna hii usiombee, anakwambia uchungu anaosikia ni kama wa kuzaa lakini Bora wa kuzaa mtu anategemea kupata mtoto unakuwa ni uchungu wa furaha lakini sio wa maumivu wa vidonda vya saratani hatari sana....Binafsi mimi mtu ambae nilimshuhudia akipitia maumivu.
Huyu dada alikuwa hospitali akiumwa saratani ya titi,
Titi lake lilikuwa limeoza kwa upande wa kwapa huku.
Huyu dada dawa ya kuzuia maumivu ilikuwa ikiisha nguvu alikuwa analia sana.
Alikuwa anaumia sana.
Inasikitisha sana.
Spoku ilipitishwa kwenye kichwa cha uume ikatokea upande wa piliau uliona mtu anapitia ukaona kabisa ni maumivu makali kwa binadamu.