Ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?

Aisee hadi nimesisimka,alipona mkuu?
 
Inatibu nini mkuu. Usikute ulikunywa kwa ajili ya shoo nzito🤣🤣😂
 
Kipanda Uso.

Unaona hadi macho yanataka kutokaa. Ni homa ambayo nimefanya tiba ya hospital na asili, ila bado nateseka nayo.
Chukua pilipili kichaa zilizokomaa vyema ziponde / twanga kwenye kinu kisha loweka kwenye mafuta ya taa halafu weka juani kwa muda wa lisaa. Chovya kitambaa kwenye huo mchanganyiko halafu pangusa kwa namna ya kupakaa kwenye eneo linalouma (paji la uso) kisha kaa sehemu yenye utulivu kwa masaa walau manne kabla hujaenda kuosha uso wako.

Binti yangu alisumbuka sana na kadhia hiyo ,katika kuhangaika nikaelekezwa tiba hiyo ,asante Mola ilisaidia na hakuwahi kuumwa tena.

NB: kuwa makini mchanganyiko wako usiingie machoni wakati wa kupakaa
 
Mmetaja vyote, ila kwa mimi the worst physical pain niliyoyapata ni pale nilipokinga panga na mkono ili wasinijeruhi kichwani. Wale washenzi walinipora simu yangu na wakaniachia na jeraha baya sana. Vidole vi4 vya mkono vingeenda chini dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…